dopchinski
JF-Expert Member
- Mar 11, 2021
- 3,387
- 3,683
yani jinsi wanavyo isifu dar na muundo misingi yao, utadhani ulaya, ila dar uipate kwenye orodha fupi kama hii itakua ni bonge la shock 😳💥💥.!!
Ni maajabu kipindi kama hiki kuwa na watalii wengi kiasi hiki, in normal tourism situation hiki ni kipindi cha low season,Ila mwaka huu tunafanya vizur zaidi kwenye utalii... Ngorongoro national park 👇View attachment 2140450View attachment 2140451View attachment 2140452
Hapa umeigusa Kenya "by 90%. Kenya Hutumiwa na wazungu kuivuruga Afrika. Kipindi cha ukombozi kusini mwa Afrika, Kenya ilitumiwa na wazungu kuwakandamiza waafrika."Afrika haitokaa iwe HURU. Waafrika wanawaamini Wazungu, Wamarekani na Wachina zaidi kuliko wanavyojiamini wao wenyewe....hawajiamini wao wenyewe hata kidogo.
Mtu mweupe anafanya makosa Afrika tena makosa ya jinai ila hakuna hatua za kisheria zitakazochukuliwa dhidi yake kwa sababu mamlaka za Afrika zinatutazama sisi weupe kama miungu, jambo ambalo liko mbali sana na ukweli.
Mtu mweusi (Mwafrika) anaweza kuteswa, kunyanyaswa na hata kuuawa kinyama Ulaya lakini hakuna mamlaka yoyote ya Afrika inayoweza kuuliza wala kuhoji.
Waafrika wamejikubali na kuamini kuwa wao ni watu DHAIFU wasio na tumaini haswa linapokuja suala la kupambana na Wazungu, Wamarekani na Wachina. Mzungu, Mmarekani au Mchina anaweza kumdhalilisha, kumtukana, kumpiga na hata kumuua Mwafrika katika ardhi ya Afrika tena kwenye nchi yake au nje ya Afrika na Viongozi wa Afrika wataliona hilo na kila mmoja atajiweka kana kwamba hakuona wala kusikia.
Adui wa Mwafrika ni Mwafrika. Mwafrika mpe silaha, pesa au ahadi ya madaraka madogo tu kwa sharti moja tu la kumuua Mwafrika mwenzake, atamuua kinyama kuliko ulivyotarajia. Adui wa Mwafrika sio mzungu, sio Mmarekani wala sio mchina. Adui wa Mwafrika ni AKILI na fikra zake na ndio maana leo Wazungu, Wamarekani, Waarabu na Wachina wameitawala tena Afrika kwa kutumia dini, Elimu, uchumi, teknolojia, siasa na utamaduni.
Waafrika ni watu wanaochukiana na wasioaminiana na ndio maana Afrika haiwezi kuungana na haitokaa iungane kuwa na dola imara. Chuki ya wenyewe kwa wenyewe na utengano ndio inayowapa wakoloni wao nguvu ya kuendelea kunyonya rasilimali za Afrika."
Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
Kwahiyo asipojua kiingereza wewe unawashwa katika makalio kwa sababu hiyo ndio lugha ya mabwana zenu?, Failed state and slave mentality"KANAIRO hebu ntoo uone hii![]()
.. hii ni kingereza ya huyu jamaa kweli.!? ama ame copy na ku paste humu, sababu tangu jadi, najuanga huyu jamaa hajui kingereza
na bado itaendelea kutumiwa milele sababu hawajitambui,Hapa umeigusa Kenya "by 90%. Kenya Hutumia na wazungu kuivuruga Afrika. Kipindi cha ukombozi kusini mwa Afrika, Kenya ilitumiwa na wazungu kuwakandamiza waafrika.
Hivi hio nuclear weapon Russia anayo Peke yake? Kwamba yeye kuwa na warhead 7,000 hizo 6,800 za USA haziwezi kumletea madhara? Anaweza kuichakaza Ukraine na bado akawa ameshindwa hio vita. Acha muda utatuambia.my unpopular & unnecessary opinionkuhusu Russia-Ukraine War, hakuna namna Putin atakubali kushindwa kwenye hii war.. akishindwa hata ushawishi wake utapungua.. so by any means, either hata ukraine kukubali kushindwa, Russia au Putin watashinda hii vita.. sijui kwa mda gan lkn Russia wataibuka washindi au wababe, na mkumbuke Putin ana backup ya nuclear weapons
Tatizo lililopo in the last 20 years the West i.e. NATO members economic systems have increasingly been heavily dependent n deeper entrenched on Russian resources i.e. economy completely aligned to Russia Federation to an extent of Putin now calling the shots.Hivi hio nuclear weapon Russia anayo Peke yake? Kwamba yeye kuwa na warhead 7,000 hizo 6,800 za USA haziwezi kumletea madhara? Anaweza kuichakaza Ukraine na bado akawa ameshindwa hio vita. Acha muda utatuambia.
Sie pia tuna yetu
Mteza Bridge
Is that the kind of English u fools r bragging in here?once again we kenyans do pray for the better 🧎♂️🧎♀️
View attachment 2140568
Kabla ya kuchukua maamuzi katika ngazi za kimataifa, ni vizuri viongozi wa Kenya kuomba ushauri toka Tanzania, kwasababu Kenya hamko vizuri katika kufikia maamuzi ya busara, hili ni tatizo la Kenya kuanzia rais wenu wa kwanza, bado linaendelea hadi Leo.
kilimani na upperhill ndani 🤣🤣🤣