Ishu sio tu maelewano ya Russia na UKRAINE kuweka safe corridor ili kuwapisha raia watoke ndio vita yao iendelee lahasha, ni kwamba Watanzania wameruhusiwa kutoka UKRAINE kuelekea Russia tena kwa escort ya kijeshi, yani jeshi la Urusi litawabeba wabongo kuwapeleka Belgorod ..! Unajua kusoma kiswahili.? Soma hii barua kutoka ubalozi wa Tanzania nchini Russia , watanzania wanatakiwa waonyeshe bendera yao tu wabebwe na jeshi la Urusi kutoka UKRAINE hadi Urusi ..
View attachment 2140128show up some respects to us .