Sama boy 255
JF-Expert Member
- Mar 5, 2021
- 13,806
- 41,703
Ndio, escalators kuzikuta kwenye office buildings, hotels, malls and airports or even in railway stations ni vitu vya kawaida, but sio kawaida kabisa kukutana na escalators kwenye bus terminals hususan hapa EA, na ni ukweli kwamba ni kwenye bus terminals za Tanzania tu ndio unaweza kukutana na escalators.. sasa ulitakiwa utu prove wrong by showing us them escalators in your so called ultra modern state of art bus terminus in Nairobi ..mpuuzi ni nyanyako.... Alichosema mtoa post kiliambatana na picha moja ya escalator, eti kwamba hio ni bus terminal na sio airport...
Yaani Kwa ushamba wake escalator inapatikana JNIA pekee kwahivyo ni maajabu makuu kwamba bus terminal ya Tz iko na escalator! Ndo mi nikamjibu kwamba escalators huku kwetu hua tukienda supermarket tunaachilia watoto wazichezee, hicho si kitu cha kuringia mtu.
Haya twende kazi 😂😂😂


UDOM