Fundi kitasa
JF-Expert Member
- Mar 17, 2021
- 2,626
- 7,180
Kuna kitu kimojaa tumejifunza kama bara la africa na dunia kwa ujumla kwenye huu mzozo wa urusi na ukrain waafrika tunafaa tuwape viongozi wetu wa AU meno wawe na mamalaka kuzidi maraisi wa nchi zetu na tuwe na usemi mmoja la sivyo hatutawahi kutoboa mbele ya hawa mabepari ata miaka milioni

