The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,480
- 98,527
Watanzania wakati mwingine mna upuuzi. Nimeweka video lakini hutaki kutazama? Nunua bundle utazame hio video. Mimi sio mjinga nipost render kama nyie mnavyofanya.Render ndiyo bridge![]()
Ambayo ni kama 5% ya Kenya yote, Hko kwingine ni kama hawaishi watutafauti ni kubwa mkuu.. kenya tuko na mrundiko wa taa kutoka machakos hadi lake victoria, hadi mt elgon.. kwa umbali sana kama vile za sa, yani conurbations ama agglomeration, jambo ambalo tz haliko
Benki ya Dunia👇![]()
Benki ya Dunia: Tanzania hatarini kukumbwa na "stress za madeni"
Tathmnini ya ufuatiliaji wa deni la Tanzania uliofanywa na WB unasema Tanzania iko kwenye hatari ya kukumbwa na debt stress ya kiwango cha moderate. Hii ni alarm kwa serikali kupunguza Kukopa lakini pia tujiandae kwa Kodi zaidi maana miradi lazima iishe iwe kwa mikopo au kwa Kodi za ndani ...www.jamiiforums.com
![]()
Takataka zao zile wanaziita runda, west, Karen hazifui dafu hapa kwa Kisasa Dodoma
Dom ilishaiacha Nairobi kwenye residential property siku nyingi
Angalia ubora wa barabara hata baadhi ya maeneo ulaya hayapo hivi
View attachment 2138020

Hapo ka post hivyo kujishaua kwamba eti SSH is doing wrong kwa Kukopa.you end up embarassing yourself and losing every argument coz of not being smart.....
Hata kwetu kuna giza jingi tu hadi ufikie mjiHuo utofauti mdgo ninupi wakati northern part of kenya ni giza totoro?
Umesahau Harvard na ivyo vyuo vilijengwa zamani sana.Unajenga kulingana na mahitaji ya sasa,sioni tatizo kua na chuo kikubwa kama Udom maana kuna vitengo na kila kitengo kinajitegemea.Hao wanafunzi 40k wamegawanywa na wanasoma kwa vitivoYou do not have to have a humongous University to educate your population. You need numerous institutions. Kenya has way more universities than Tanzania.
BTW, the most reputable universities are normally moderate in size and student population.
Harvard = 19,218
MIT = 11,934
Cambridge = 24,450
Oxford University = 24,515
Stanford University = 17,246
I don't understand all this hullabaloo about UDOM size. A good University should maintain between 5000 = 25000 students and offer quality. A country should have numerous moderate size universities preferably specializing in different fields. Hapa Africa tunajaza wanafunzi over 40,000 kwa chuo kimoja kisa education system yetu haijadevelop vizuri na hatuna vyuo vya kutosha.
Wewe mwenzetu unajua wamelipa nini? Tueleze.Sasa mbona msemaji wa serikali anasema hawajalipia chochote kuhusiana na haya matangazo, yani watuposti mwezi mzima buree 🤔
Na kumbe urban area ya Dar ni ndogo kuliko Mombasasipendi makaratasi mimi, i truly believe in whts tangible.., whts on ground.!View attachment 2137913



. Yani fishing village kweliSijasema kuna shida, nimesema ukubwa wa chuo sio bragging point. Quality ndio bragging point. Sasa kama akina Harvard wameanza kitambo na wana uwezo wa kuexpand yet wamemaintain small size to maintain quality, wewe unajitamba na UDOM yenye imeanza 2007 kwa ukubwa wa eneo na wanafunzi huoni kama kuna shida? Ndio maana nikasema African Universities are big and with bigger enrollment because our education system is underdeveloped sio kwa sababu tumeendelea.Umesahau Harvard na ivyo vyuo vilijengwa zamani sana.Unajenga kulingana na mahitaji ya sasa,sioni tatizo kua na chuo kikubwa kama Udom maana kuna vitengo na kila kitengo kinajitegemea.Hao wanafunzi 40k wamegawanywa na wanasoma kwa vitivo
Ogopa NairobiThis battle is btwn dar vs Nairobi. let me zoom for you again ndio ujuwe dar size ya MombasaView attachment 2137990
1.4km bado sn Tony mpambane aisee.Watanzania wakati mwingine mna upuuzi. Nimeweka video lakini hutaki kutazama? Nunua bundle utazame hio video. Mimi sio mjinga nipost render kama nyie mnavyofanya.
So hao waliokuwa wanatupa mikopo pia walikuwa wanamuogopa Magu mana hawakusema kipindi cha Magu ila wanasema kipindi hiki mana hawamuogopi Samia au co. Acheni upumbavu, Magu hakuwa anakopa kopa hovyo alikuwa anapambana humu humu nchini na ndiyo maana wajinga kama nyie hamumpendi mana aliwabana njia zenu zote za kupiga na hakuwa anatoka toka nje kama Mama yenu, so unataka kutuambia walikuwa wanamfuata wenyewe ili kumkopesha?Hapo ka post hivyo kujishaua kwamba eti SSH is doing wrong kwa Kukopa.
Wakati anasahau kwamba Samia ana mwaka mmja na mzigo wa madeni sio wa mwaka huu mmja bali mikopo ya nyuma na inayowahi kuiva hususani mikopo ya biashara iliyokopwa na Mwendazake..
So far mkopo pekee wa SSH ulikuwa disbursed ni WA covid 19,hakuna mwingine, mingine yote iliingiwa na Serikali iliyopita ila disbursement yange ilizuiwa au kucheleweshwa kutokana na sera mbovu za Mwendazake.
endelea kuota ,hiyo ni ndoto nzuri sanaNa kumbe urban area ya Dar ni ndogo kuliko Mombasa. Yani fishing village kweliView attachment 2138169
You don't know anything about your country.Wapi asilimia umepata? Tanalec ilikuwa ya serikali, na uwekezaji kidogo kutoka Norway. Norway ndio wakauzia wenzao WA Kenya hisa chache.. Nyingine Waka chukua wahindi. Sasa Hao wakenya wanaomiliki Tanalec ni kina nani