Mahindi tu wakati export zetu zinaongoza Kunyaland huko kote? Hivi unajua DRC na Rwanda wanapokea cement kiasi gani toka Tanzania? The likes of Bakhresa na METL wana branches huko?Nyinyi mnauza tu mahindi huko Uganda and Rwanda. Mambo ya manufacturing iliwapiga chenga na sioni kama Tz will sort it out any time soon.
Hii Tz wallahi ni Europe ya EA, ona mambo ya Ulaya haya, wakenya watasubiri miaka 2000 ijayo kupata kitu kama hikiView attachment 2137809
#TheBest007 💩 👆Hiki Dar kitasubiri miaka ngapi wakipate 4000s😂😂😂😂😂
exported 1.2bilusd of manufactured goods ..we are on right path if we keep adding to thatNyinyi mnauza tu mahindi huko Uganda and Rwanda. Mambo ya manufacturing iliwapiga chenga na sioni kama Tz will sort it out any time soon.
Wewe akili nayo ulinyimwa.....mali ya babako ikiisha wewe kwishazwazwa anasema nairobi city ni kubwa kuliko dar
na hili pia tupige ramlina ndani ya 696km sq za nairobi kuna national park ambayo inachukua area almost a half
View attachment 2137901View attachment 2137902
Sisi town zetu ziko mbalimbali ukiangalia unaona izo taa ziko scattered lakin zipo
This battle is btwn dar vs Nairobi. let me zoom for you again ndio ujuwe dar size ya MombasaKenya nzima ni ushagoo ukitoa miji miwili, alafu angalia Tz karibu yote kuna electricity connectivity, ona hii map hapa chiniView attachment 2137870
akili zako zimeishia kwenye mahindi tu,pole sana bwana mapesa a.k.a chokoraa,Nyinyi mnauza tu mahindi huko Uganda and Rwanda. Mambo ya manufacturing iliwapiga chenga na sioni kama Tz will sort it out any time soon.
Muhimu ninajua kwamba Kenya Kuna njaa Sana wanapewa chakula cha bure toka China, hilo ndio muhimu kuliko ofisi za UNutajuaje umuhimu wake wakati UN enyewe wewe unai Google wakati sisi tuna interact nao hapa Nairobi


🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Those are literally 2 mansions. 2 mansions are enough to make you utter such words? Where do you guys get the courage??😅😅Takataka zao zile wanaziita runda, west, Karen hazifui dafu hapa kwa Kisasa Dodoma
Dom ilishaiacha Nairobi kwenye residential property siku nyingi
Angalia ubora wa barabara hata baadhi ya maeneo ulaya hayapo hivi
View attachment 2138020
You're a joker bruh, you seriously need to pay a visit to NairobiZiwe ni barabara za local government au central government ubora ni wa hali ya juu
Kunyaland huwezi kuta barabara kama hii imejengwa kwa ubora kama huu, hata trunk roads zao ni full Shoddy circus
Dom over Nairobi by miles
View attachment 2138021
Hahahaha, kwahiyo Uganda inanunua mahindi toka Tanzania Kisha waganda wanauzia Kenya mahindi?Nyinyi mnauza tu mahindi huko Uganda and Rwanda. Mambo ya manufacturing iliwapiga chenga na sioni kama Tz will sort it out any time soon.

.