tuusan
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 17,973
- 20,222
Quality inategemeana na budget pia,sasa wakufunzi Wa Harvard watakua wanalipwa hela nzuri vifaa vyote wanavyo alafu pia anasema mimi nahitaji idadi fulani wa wanafunzi ambao ndio naweza wapika vizuri..anasikilizwa.Sijasema kuna shida, nimesema ukubwa wa chuo sio bragging point. Quality ndio bragging point. Sasa kama akina Harvard wameanza kitambo na wana uwezo wa kuexpand yet wamemaintain small size to maintain quality, wewe unajitamba na UDOM yenye imeanza 2007 kwa ukubwa wa eneo na wanafunzi huoni kama kuna shida? Ndio maana nikasema African Universities are big and with bigger enrollment because our education system is underdeveloped sio kwa sababu tumeendelea.
Uku kwetu wanafunzi unaletewa kulingana na sera ambazo hazireflect ualisia,mishahara kiduchu na vifaa kiduchu pia...wanafunzi wengine hata uwezo mdogo sasa ufanyeje


