Kinjekitile Jr
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 599
- 1,765
Kuna vitu Mwanza vipo ila mombasa havipo lakini hakuna kitu ambacho mombasa kipo halafu mwanza kisiwepo,so mwanza ni habari nyingine ngoja miradi ikamilike utajua hujuiNimeuliza unaweza linganisha Mombasa na Mwanza?