Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hayo majani yanasaidia nn kwenye izo pillars?ni kitu kigeni ndio ila yanasababu gani kuwepo?
1. The plants will absorb the carbon emitted by the vehicles using the expressway, thereby helping in cleaning the air.

2. It blends the expressway with the environment around it, thus acting as a natural beautifier and enhancing the exquisite landscape of the highway.

Imagine driving along this expressway when all these flowers have bloomed! It will give users an overnight natural serenity and ambience.
 
Unajua maana ya 'wealthy people'

Wealthy people ni watu wenye mkwanja mrefu hasa, watu wenye uwezo wa kwenda Paris for shopping, boarding yachts and own supercars

Hapa tunaongelea watu wenye ahueni ya maisha, wenye uwezo wa kuendesha maisha yao na kumudu mahitaji yote ya binadamu kwa kiwango cha kuridhisha au wastani, Huwezi kulinganisha maisha ya Buswelu na maisha ya mathare au uwanja wa fisi
Mkuu watu wengi huwa wakifika mza wanaona nyumba za milimani basi hufikiri mwanza yote iko hivyo.
Maeneo kama Buswelu, nyamhongholo yako tambarare huwezi hata kuona mlima wowote, na watu wamejenga nyumba za maana tu.
Ukiwa kona ya bwiru barabarani Unaweza fikiri umeona mza, sasa nenda bwiru kwenyewe ukaone nyumba za kule.
Screenshot_20220126-191505.png
 
View attachment 2130251
Kwenye ubora wa makazi Nairobi yenyewe inasubiri kwa Mwanza, Mombasa ilishajaribu ikashindwa kabisa, zipo video zaidi ya 10 ichoboy01 anawawekeaga hapa kisha wanapoteana, ni ubishi tu ila deep down wanajua Mwanza sio level yao ndio maana huoni wakileta Slum yoyote kutoka Mwanza
 
1. The plants will absorb the carbon emitted by the vehicles using the expressway, thereby helping in cleaning the air.

2. It blends the expressway with the environment around it, thus acting as a natural beautifier and enhancing the exquisite landscape of the highway.

Imagine driving along this expressway when all these flowers have bloomed! It will give users an overnight natural serenity and ambience.
Mbn wao waliokutengenezeeni hyo road hawaweki mijani Jani kwenye flyover zao? Alafu wanakuambieni eti mambo cjui ya carbon ya nyoko, upumbavu mtupu
 
Kwenye ubora wa makazi Nairobi yenyewe inasubiri kwa Mwanza, Mombasa ilishajaribu ikashindwa kabisa, zipo video zaidi ya 10 ichoboy01 anawawekeaga hapa kisha wanapoteana, ni ubishi tu ila deep down wanajua Mwanza sio level yao ndio maana huoni wakileta Slum yoyote kutoka Mwanza
kwa hii speed unaendea nayo hauko mbali kusema New York itasubiri Sana kufikia level ya chato😄
 
Mbn wao waliokutengenezeeni hyo road hawaweki mijani Jani kwenye flyover zao? Alafu wanakuambieni eti mambo cjui ya carbon ya nyoko, upumbavu mtupu
This just shows your level of ignorance. At least ungefanya research kidogo about vertical gardens on highway pillars before spitting ignorance here like a rattled cobra.

Toka nje ya mipaka ya uswazi za Dar ujue yanayoendelea nje ya Dar is slum. It limits your exposure, leaving you to spit nothing but ignorance like you are doing here.

These are different cities in Asia with vertical gardens on highway pillars. Una nini la kusema sasa mjinga wa Dar uswazini?
Hyderabad-Vertical-gardens-660x495.jpg
via-verde-mexico_1.jpg
HY04-VERTICALGARDEN.jpeg
Vertical-gardens-696x377.jpg
DSC_0648-750x500.jpg
via-verde-mexico_cover_photo.jpg
via-verde2.jpg
 
Back
Top Bottom