hehe.....overrated dar iko wapi....ama wanaonewa na dunia kama kawaidaanother one. please The best 007 anzakuesabu kuanzia leo maana ya gdp kubwa. wacha tuanze na hii hapa leo
yani tutawazidi kwenye kila takwimu
View attachment 2131076


We jamaa ni kituko,kwa hiyo hapo panaweza fanana na Jiji la Abidjan? šWw sikuzote ni mafiiii....nilete tuu sehem imekaa ivi nifunge acc...zege wwView attachment 2131103
RICH Ila hawana hela ya mafuta na ya kuendesha BRT yao ?, Dar toka ianze haijawahi simamisha huduma pamoja na changmoto zote. Mpaka hapo hatufananiš
View attachment 2130950


bisheni tena $38b vs $25b Najua wewe ni Mpumbavu lakini sikuwahi kuwaza kuwa wewe ni mpumbavu wa kiwango cha kutisha!Wewe ukiona skyscraper chache hapo katikati mwa jiji unaona Dar imeizidi Accra?

Unaweza kua na point,wanaweza kua na failure zao ila hela wametuzidi...tatizo watz humu ndani hawataki kusikia icho kituNilidhani hii wakulungwa walisema ni concentration ya Private Wealth. Ndio maana hawana hata hela za mafuta kuendeshea mabasi kwa ajili ya Public ambao ni wengi pamoja na kulipa madereva.![]()
ishu ya
- GDP ya Kenya hasa ukicompare ya Morocco na development zake hazina uhusiano
- Uwepo wa slums or unplanned settlement
- Uwepo wa njaa nchini Kenya (lack of foods)
- Mazingira machafu barabaran
- Ukosefu wa social services infrastructure like Stands, Markets
hiv vyote vinanipa wasiwasi kuhusu GDP ya Kenya, yan hakuna uhusiano wowote wa GDP yao na maisha yao yalivyo.. full kuungaunga
Heri kwetu Tanzania kuna maendeleo flan hiv yanaonekana
Yani dunia nzima ilikaa chini ikaamua itakua ikionea Dar na Tanzania. Yani akina Putin, Obama, Trump, Merkel, Biden, Boris, Macron wote wakakaa wakaamua waionee Dar. š¤£š¤£hehe.....overrated dar iko wapi....ama wanaonewa na dunia kama kawaida![]()
Yaani kuna muda lazima tufike wakati nchi hii tukubali ukweli tu.Viongozi wa nchi hii sijui uwa wanafanya nini serikalini? Ebu jiulize yaani mtu mpaka anafikia anajenga nyumba ambayo haitajiki kujengwa kwa maeneo ya mijini maafisa mipango mji uwa wapo wapi? Sasa kuwaondoa watu kama hao ni gharama kubwa sana.Kuna kipindi Magufuli alipokuwa waziri wa ardhi alikuja na hiyo plan ya kuwahamisha wakazi wa hayo maeneo ya Mwanza ili maeneo hayo yajengwe makazi na miundombinu ya kisasa ili kutunza mazingira lakini Mkwere aliogopa kukosa kura kwenye uchaguzi wa 2010 hivyo hiyo plan ikatupwa chini. Magufuli was naturally a visionary leader.
Hata Dar es Salaam viongozi wetu na wataalamu wa wizara ya ardhi nyumba na maendeleo ya makazi wanatakiwa kufanya maamuzi magumu ya kuja na plan ya kumodernize maeneo makazi ambayo yanalipa jiji taswira ambayo si nzuri. Hzi habari za uoga wa kijinga wa kisiasa ndizo zinatufanya kuacha watu kujenga holela halafu huko mbele itavi-cost vizazi vyetu kutumia nguvu kubwa sana kurekebisha makasa ya miaka mingi nyuma.
I believe it's 100% of Dar. Nionyeshe mtaa Dar uliopangika kuliko Langata.Lang'ata is such a beauty. More organized than 70% of Dar
View attachment 2131094