Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ona alivyopagawa, njaa ya nchi anafananisha na njaa ya darasani ambayo hata cc ilitupata
Vile unakuanga punguani nilijua ulitandikwa na njaa utotoni. Inaitwa malnutrition na husababisha akili ya mtoto kutodevelop vizuri na mtoto akawa punguani.🤣🤣
 
Yaani kuna muda lazima tufike wakati nchi hii tukubali ukweli tu.Viongozi wa nchi hii sijui uwa wanafanya nini serikalini? Ebu jiulize yaani mtu mpaka anafikia anajenga nyumba ambayo haitajiki kujengwa kwa maeneo ya mijini maafisa mipango mji uwa wapo wapi? Sasa kuwaondoa watu kama hao ni gharama kubwa sana.
Me nafikiri inahitajika tupate vijana wapya wenye damu ya kufanya kazi hasa idara ya mipango miji ili baada ya miaka 20 mbele tuwe na taifa lililojengwa na kupangwa kama nchi za Ulaya au Asia,tukijisahau tutakuwa na taifa la ovyo kama kenya
Maafisa mipango miji ni makada wa chama cha mapinguzi wamejaa upumbavu toka utosini hadi makalioni , serikali inatakiwa kuokoa cement inayo kwenda kujenga slum na nyumba mbovu zisizo faa kwa binadamu kwa kuanzisha soft ware app itakayo tumika na kila mtz atakapo kuwa anataka kujenga na kununua viwanja ,
 
mwambie kwanza akuoneshe modern street kama hzi hapo mombasa akijibu tu nitag
na umkumbushe kua hzi ni streets na sio main roads





Aoneshe stand ya bus tuu ya Mombasa imekaaje tuone. Akirudi ni tag na mimi pia
 
Hehehehe. Uko na shida ya akili bradhee

Rock City Mall
View attachment 2131299

Vs
City Mall

View attachment 2131301

Nyali Center
View attachment 2131302

Likoni Mall


Kaka naomba sometimes twende na facts.Ebu soma hapa halafu uniambie hizo malls za mombasa zina ukubwa gani maana unanionesha picha zenye ukubwa kama chumba na sebule

Njoo na facts kama hizi 👇👇

S20225-235750.jpg


S20225-235738.jpg
 
Unaweza kua na point,wanaweza kua na failure zao ila hela wametuzidi...tatizo watz humu ndani hawataki kusikia icho kitu
Kwanza siwalikuw chini yetu juzii tuu, bada ya kukoopaaa na kulamba miguu beberuuu eti wametudi...sasa ngoja takwim zijazo nasisi sahiii nimwendo wa mtukuze beberu ...tutajua nani ni nani
 
Kuna vitu Mwanza vipo ila mombasa havipo lakini hakuna kitu ambacho mombasa kipo halafu mwanza kisiwepo,so mwanza ni habari nyingine ngoja miradi ikamilike utajua hujui
sasa mwanza nnn kwa mombasani jameni.?
 
hadi nimecheka yangu yote.. 😆😆😆
kumbe tanganyika hakunanga shopping malls.. 🤔🤔🤔 !!??.
mzuri kujua hivyo leo

Screenshot_20220226-003710_Chrome.jpg
 
Wewe ni mjinga,ni board member wa AGRA na Kazi yao ni ku support wajasiamali wa kilimo,ndio hao wamama na wengine wako kwenye agro processing.

Kilimo kwanza kwa vitendo inaendelea.

Kilimo kwanza madness again
That dude has been a president for atleast 10 good years,
Najua unajua Tz ni Nchi ya Kilimo,
Najua unajua the potential behind kilimo
Najua unajua tukiwa serious na Kilimo tutafika wapi kama taifa,
Najua unajua tukipata uwekezaji wa $2b kwenye Kilimo direct tutafanya mapinduzi makubwa tutalisha Africa nzima

Now tell me, what did that guy do in agriculture during his 10 years as a president..
Halafu leo amestaafu wapumbavu kama wewe thinks he can make impact in Agriculture
Ningekuona wa maana ungemleta hata kayanza Pinda kwenye mambo ya Kilimo, sio hao wavivu.
 
Kilimo kwanza madness again
That dude has been a president for atleast 10 good years,
Najua unajua Tz ni Nchi ya Kilimo,
Najua unajua the potential behind kilimo
Najua unajua tukiwa serious na Kilimo tutafika wapi kama taifa,
Najua unajua tukipata uwekezaji wa $2b kwenye Kilimo direct tutafanya mapinduzi makubwa tutalisha Africa nzima

Now tell me, what did that guy do in agriculture during his 10 years as a president..
Halafu leo amestaafu wapumbavu kama wewe thinks he can make impact in Agriculture
Ningekuona wa maana ungemleta hata kayanza Pinda kwenye mambo ya Kilimo, sio hao wavivu.
Useless dying monkey..

Hakuna siku sekta ya kilimo ilipata mafanikio kama wakati wa JK.Kilimo cha kisasa cha kutumia zana Bora kiluanza na watu walipenda kilimo.

Power tilker hadi tractors zikifanya Kazi,contract farming ndio ilianza,mbolea zilitolewa kwa ruzuku na mambo mengi mazuri.

Mazao yetu yalikuwa na bei nzuri.Unfortunately alivyoingia yule mwehu wenu kila kitu kiliharibika.

Wizara ya kilimo ilikuwa ignored na ndio kipindi bei za Mazao ziliharibika, migogoro na majirani na akavuruga na biashara ya wanunuzi wa korosho,mbaazi na ufuta.

Tulipata hasara kubwa Sana kama Taifa kuongozwa na kichaa, nadhani ccm hawatarudia tena lile kosa..

Saizi Samia anahangaika upya ku restore the working economy,the glory of Tanzania.

Watu kama Mwendazake ni war mongar wasiojali utu kama Putin,Hitler and the likes.Rais aligombana na kila jirani ila kwa sababu yeye alikuwa anakula jasho letu wala hakujali,Bora Mungu kampenda tumepumua as a region.
 
Back
Top Bottom