Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

hili tu ni moja wepo.. please The best 007 anza kuhesabu kuanzia leo maana ya gdp kubwa. wacha tuanze na hii hapa leo

yani tutawazidi kwenye kila takwimu

Screenshot_20220225-195049_Chrome.jpg
 
Hapo kuna sehemu inaitwa Jamestown kuna slum inaitwa Sodom and Gomora! BTW hawa Ghana wanafanana na Kunyaland kwenye kukopa na madeni!
Na mzungu ukishamnogesha kwenye biashara yake ya mikopo anakupa bonus ya kupanua GDP yako ili ukope zaidi 😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom