The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,516
- 14,183
Ubora wa Dar ni upi over Accra? Maana kuhemka sio facts.Facts gani? Hivo vitakwimu vyenu ndio vinafanya Accra kuwa bora kuliko Dar? Unapajua Accra wewe? Huhuhu
Ubora wa Dar ni upi over Accra? Maana kuhemka sio facts.Facts gani? Hivo vitakwimu vyenu ndio vinafanya Accra kuwa bora kuliko Dar? Unapajua Accra wewe? Huhuhu
Achana na hao wajinga, ukweli unauma ila ndio hivyo..Leta stat otherwise ww unajionyesha ulivyo huna akili.Unatetea hadi vitu viko wazi kabisa sasa labda uniambie Accra mnawazidi nn mm nimeshasema wanatuzidi utajiri na huwezi bisha kwa facts sanasana utatukana tu
Unajua utajiri ni nini , maana kwenye utajiri tumewaacha mbali sana kama miaka 20 hivi nchi ya ghana aina hata CBD ndiyo ulinganishe na tz hata uganda wapo vizuri kushinda ghanaLeta stat otherwise ww unajionyesha ulivyo huna akili.Unatetea hadi vitu viko wazi kabisa sasa labda uniambie Accra mnawazidi nn mm nimeshasema wanatuzidi utajiri na huwezi bisha kwa facts sanasana utatukana tu
mombasa kuna nini cha zaidi?Hivi unaweza linganisha Mwanza na Mombasa?
Nakuona kigogo_2014 ukiwa kwenye ubora wako,yaani vijana wa CCM uwa mnanifurahisha sana mnajikutaga sana ni wazalendo kwa nchi hii!!!! Labda uzalendo wa nyokoAchana na hao wajinga, ukweli unauma ila ndio hivyo..
Dar inachozidi Miji ya West labda population napo Abdjan imezidi Dar kwa kila kitu.
Ghana na Nigeria wanapenda kujenga flyovers in the middle of nowhere ili waji boast kwamba wana flyovers nyingiHizo nyumba pembeni ya interchange ni za udongo ama? So that flyover alone inakufanya kuona Accra ipo more developed than Dar! beautiful grandiose interchange but if u look careful u see those for roads end up to two lanes road aside the fact most streets in that surburb r dusty! Huu ndo ujinga wa Ukunya kule Ghana!
Sasa hapo umeandika nini Mzee dingiNakuona kigogo_2014 ukiwa kwenye ubora wako,yaani vijana wa CCM uwa mnanifurahisha sana mnajikutaga sana ni wazalendo kwa nchi hii!!!! Labda uzalendo wa nyoko
Wanajengea mawe au pesa? Uchumi wao unalingana na Uchumi wa Tzn?Ghana na Nigeria wanapenda kujenga flyovers in the middle of nowhere ili waji boast kwamba wana flyovers nyingi
Kuna kipindi Magufuli alipokuwa waziri wa ardhi alikuja na hiyo plan ya kuwahamisha wakazi wa hayo maeneo ya Mwanza ili maeneo hayo yajengwe makazi na miundombinu ya kisasa ili kutunza mazingira lakini Mkwere aliogopa kukosa kura kwenye uchaguzi wa 2010 hivyo hiyo plan ikatupwa chini. Magufuli was naturally a visionary leader.Hawa vjana wa Nyanza nawaelewa sana pia wanapenda sifa sana kulko ata pesa,yaani yupo radhi alale kwenye mabanda au ashinde njaa
Umeongea vyema sana,Mwanza imejengeka nje ya jiji,kwa mtu mgeni akifika mwanza akaona zile nyumba za Igogo,Sahara,Mabatini au Bugarika anafikiri mwanza ndiyo ipo hivyo lakini akienda maeneo kama vile bwiru,capri point,nyamhongolo,buswelu,nyasaka,isamilo au mkolani ndio atajua kwanini mwanza ni jiji la pili kwa nchi hii.
Note;Serikali ingefanya mpango ikawahamisha wakazi wa sahara na mabatini maana ni sehemu ambazo zipo karibu sana na city center halafu ikajenga ata appartment kama za buswelu au kule kisesa.
Ichogal hujawaii wachana na weed cookiessasa accra kuna nini cha ajabuhvi bro accra ww unaijua au unafata mihemuko ya wajinga?? accra hata kwa arusha bado sana achilia mbali dar


😂😂😂 Acha kutoa maboko we jamaa hiyo interchange pekee inakuonyesha how poor is Accra 👇. Angalia makazi ya watu hapo chiniIyo ni source yako,sasa tafuta any other credible source itakayoonyesha otherwise...ukiipata utakua sahihi kunizidi,nachokueleza ni kwamba Accra wanapesa kutuzidi,mmekaa kujidanganya hapa hadi vitu viko wazi mnabishabisha ili nn
Inawezekana Dar enyewe unaishia kuiona kwenye picha tu 😂😂😂, unaishi wapi mzee.?Achana na hao wajinga, ukweli unauma ila ndio hivyo..
Dar inachozidi Miji ya West labda population napo Abdjan imezidi Dar kwa kila kitu.
Kwahyo kupitiaiyo picha umeshaona izo shughuli za kiuchumi?Ila leo nimecheka humu, huyu tuusan sijui kama ni mzima sawa sawa, hiv kwaakili zako ka mtaa haka
katakuwa kana shughuli za kiuchumi nyingi zinazozalisha kipato kingi zaidi kuliko Dar.? owky tufanye majengo marefu sio kigezo bas twende kwenye shughuli za kiuchumi tu.. wachana na vi article vya kuokota okota mpuuzi wewe..View attachment 2130846View attachment 2130850
😂😂😂 We jamaa wewe umesoma wapi.? Ngoja kwanza twende taratibu, tunalinganisha ghana vs Tz au Dar vs Accra..? Alafu kuwa top exporter of gold means they are developed than US.? We the top exporter in the region currently just to remind you.. hapa ndipo unapokuja kuona Iyo Ghana ni overated au data zetu za GDP hazipo sawa, but kiukweli kabisa huwezi linganisha Accra mbele ya DSM hata kwa bahati mbayaKwahyo kupitiaiyo picha umeshaona izo shughuli za kiuchumi?
Kwanza unajua hawa jamaa ndio top exporter wa gold Africa?...Do you take a time to read why Ghana is ahead of Tz in both GDP and GDP per capita?hata iyo per capita wanazidi Kenya
Before wanze kujenga hii rail yao, ghana haikuw na proper public transport km siko sahii please prove me wrong, sec sikatai kuwa kuna sehem zimepangika lakin pia haiondoi ukweli kuwa wako na sehem za slums kama kenya, nne nakubali sana sector yao ya viwanda wamejitaidi mfano yule sijui wanamwita kantanga amefanikiw sana kutengeneza gari nzur,pia mafuta na dhahabu zinawapandisha ...pamoja na haya bado sikubali miji yao ilivyo mfano iyo Accra iko vizur kwenye roads network lakin vingie akuna kituBrother huwez fananisha arusha na Accra,Accra yenyewe imezidi dar mambo kadhaa...usiwehuke na tallest building izo haziadd chochote
Kindly show me vitu vinaifanya Accra kuwa mbele ya DISSIM kwa utajirUnajua Accra ni rich kuliko dar?iyo inamaanisha nn?
Interchange in the middle of the Jungle LolMnadhani Accra ni Ovyo......why are tanzanians extremely ignorant lakini...smh.
Mnadhani ni nyinyi tu ndio mnaendelea.......View attachment 2130766
Mkuu kweli unamin Dar imezidiwa na hiiiAccra kama ni mbaya unaweza pata jibu dar ni mbaya zaidi maana kama wametuzidi pesa na ni pabaya basi kwetu patakuaje



