TEMLO DA VINCA
JF-Expert Member
- Sep 1, 2013
- 3,087
- 3,392
No ni ya mkandarasi..anayotumia kutest kitu cha stimaKwa hiyo hiyo delivery inamilikiwa na serikali ya Tanzania?



No ni ya mkandarasi..anayotumia kutest kitu cha stimaKwa hiyo hiyo delivery inamilikiwa na serikali ya Tanzania?



Reality gani? Kwamba Dagoretti sasa imekuwa Karen ama? Njoo Nairobi utembee Karen. Ukiona apartment mahali piga picha utume huku tuone. Unadhani Karen ni kama Masaki yenu mliyojaza apartments hadi office blocks?nyie wakenya mshakuwa vichaa sasa,unabishana na reality
Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
Kama mchongo ni huu kweli, basi kwa hapa Africa hatuna mpinzani kwenye sector hii, kwasababu kwanza railway yetu ni EUROPEAN standard.. at least SA. wanaweza kujitutumua mbele yetu.. reli yetu ni modernity tu with the longest high speed rail road in Africa ..
Nikimbie? As if you have anything that comes close to Karen in Tanganyika!
Usipanic basi mkuu twende taratibu yani go slow slow mzee wa kizungu cha kindergartenNikimbie? As if you have anything that comes close to Karen in Tanganyika!











Karen in 56 km square and this is how it looks like from the air.Kwahiyo Karen yote ni hizi nyumba kumi tu .? 😂😂 Acha ufala wewe jamaa.. no paved roads in Karen still uko hapa kuitaja mbele ya Masaki, ar you crazy or something.?
Acha umbavu mzee, is Karen even close to this.? 👇 hapo Karen si matope tu everywhere..Nikimbie? As if you have anything that comes close to Karen in Tanganyika!
Yes, in the worldIn the world![]()
It is not close to that because that shit you are posting can't and will never make it to this levelAcha umbavu mzee, is Karen even close to this.? 👇 hapo Karen si matope tu everywhere.. View attachment 2127576View attachment 2127577View attachment 2127578View attachment 2127579View attachment 2127580


Kazi ni kudanganywa kama makondoo 2022.
Iyo pic Ni ya January this year,
Msibebewe akili Kila wakati,
Sasa chakula kuuza south Sudan iko na value Gani!!!
Mahindi maharagwe !!!