The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,616
- 98,847
G.e.n.o.c.i.d.e [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
najua itakua afueni sana kwa tanganyika kuona kenya imeanguka ama kufeli, ili wao wachukue usukani, na kua nambari moja katika ukanda huu, ila hakuna siku.!Kuna mtu anatakiwa na system alafu kuna mtu anatakiwa na wananchi, kitakachofuata ni g.e.n.o.c.i.d.e[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
nchi ya uchumi hio 👇👇👇Hapa hakuna kupokea wakimbizi a.k.a refugees, mtakula mlipopeleka mboga, hadi rahaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Phase 3 na 4 ,Rais SSH alishazindua ujenzi wake mwaka Jana alipofanya ziara Kigamboni.Kwahyo BRT phase 1 ✅ phase 2 ✅ na phase 3,4 & 5 pesa tayari ipo bado ujenzi tu.?
Huyo chizi wao anaeitwa Ruto ni militia hatumtakiRuto anajiita hustler hapo lazima ataongea bila busara bila kipimo.
Raila ana busara na hekima ni bora awe Raisi Kuimarisha ushirikiano wa EAC kwanza anatambua heshima ya Tanzania.
Uhuru ana hekima na busara.
mh kweli?Phase 3 na 4 ,Rais SSH alishazindua ujenzi wake mwaka Jana alipofanya ziara Kigamboni.
Evidence?Yani huamini mzee[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kenya electricity connectivity ni 75% mradi una miaka km si mitatu basi sijui..
Yani connection bure, vijijini watu wana enjoy bana acheni nyie watu wa kujitapa hapa kisa mumesababaza umeme vijijini
umesema 3 & 4!
Pesa ipo ,inaanza next fyumesema 3 & 4!