joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,111
- 46,621
Wakati tulisimamisha shughuli zote za maendeleo yetu ili kuwakomboa, ninyi mlikua mkikenua meno na wakoloni, hamkutaka kusikia shida yoyote ya mtu mweusihio tunasemanga maskini kujipendekeza kwa tajiri, inferiority complex is the word
Ukishindwa kusikiliza yote, sikiliza dakika mbili za mwanzo, Ramaphosa anavyoizungumzia Tanzania


