The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,616
- 98,849
Kupanda majani kama hivyo inahitaji mawazo ya wataalamu? Yani we huoni kama hapo imeharibu muonekano? Hyo yote wanakwepa kufanya pavement chini kwa kuogopa gharama kuongezeka, flyover na interchange za kunyaland 90% haziko paved chini.Nimekuelewa sana mkuu, lkn waachie wataalam mambo mengine