Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

napenda sana jinzi ninyi watanganyika mlivyo na imani na uzalendo sana kwa nchi yenu. ila jua tu ya kwamba, nchi flani kua na gdp mara mbili ya nyingine, isitaraji kuishida kwa basics kama stima, barabara, hospitali, elimu, financial sector, Agriculture, tourism, aviation, maritime, industries etc etc etc.......... sekta ambayo tz inaizidi kenya ni sekta ya madini tu...
hii hapa takwimu ya stima duaniani, toka reporting ya merikani in electricity production in Gigawatts

(however hard you try in almost all sectors, lakini bado kenya hamtaiweza..... kisa, huge gdp difference)

View attachment 2120158View attachment 2120161
Chizi wewe, unaleta data za 2018, kwahiyo hata haukubali kwamba Kenya Inategemea chakula toka Tanzania kwasababu Kenya GDP ni kubwa?, Kwamba wakenya wanategemea Hospitali za Tanzania, kwamba Kenya imeshindwa kumalizia kipande cha SGR baada ya China kukataa kutoa pesa wakati Tanzania inatumia pesa yake kujenga sehemu kubwa ya SGR?
 
Kumbukumbu: Raisi Yoweri Museveni akiwa na mtoto wake Muhoozi Katika chuo cha ushirika Moshi Miaka ya 1970s
Huyu ndugu yetu hawezi kutusahau hata kidogo!
A0B52E1F-6B76-43CE-A8A0-CB0D633B3F46.jpeg
 
ndege mpya tano kuwasili mwaka huu
Wakuu kusema ukweli hili shirika la Air Tanzania kwa ss linapiga kazi wacha mchezo, ndege zinazokwenda nje especially B787 Dream liner inajaa kinoma mfano jana tu iliyokwenda Mumbai ilikuwa iko vzr, hata ile ya Nairobi nayo imeanza kufanya vzr, achilia mbali domestic flights ambazo zinajaza mfano Airbus inayoelekea Mwanza ni kawaida kuwa full flight, hapo cjagusa Q400 ambazo ni kawaida kuwa full kwa safari zote za ndani ya nchi na nje, pia kuna ndege inayokwenda Hahaya kule Comoro huwa inajaa mpk juu, ndugu zetu wacoro huwa wana mizigo mingi sn mana hii ndio Dubai yao, I will be shocked nkisikia Atcl ime make big loss this year japo hata iki make loss itakuwa ndogo sn ila effect ya uchumi inayoletwa na hizi ndege ni kubwa sn.

Kingine niwaambie tu kwamba uwanja wetu umeanza kuwa busy from Monday to Sunday, subirini muone no. of Pax kwa mwaka huu watakimbiana humu
 
advance payment ilikuwa tayar.. so anamaanisha kumalizia full payments
Mana haiwezekani ununue ndege mwaka huu na ije mwaka huu alafu ndege kubwa labda uwe mtumba a.k.a used kama wanavyofanya wakunya. Ila kama ni advance payment zen tunamalizia tuchukue mwali wetu hapo sawa.

So hapo tunategemea freighter moja, dream liner, mjomba Max na A220 mbn watatutamburaa, alafu wanasema eti uchumi wao mkubwa kuliko wetu nawahurumia sn
 
Chizi wewe, unaleta data za 2018, kwahiyo hata haukubali kwamba Kenya Inategemea chakula toka Tanzania kwasababu Kenya GDP ni kubwa?, Kwamba wakenya wanategemea Hospitali za Tanzania, kwamba Kenya imeshindwa kumalizia kipande cha SGR baada ya China kukataa kutoa pesa wakati Tanzania inatumia pesa yake kujenga sehemu kubwa ya SGR?
😪😪😪😪 iiiiiiiiiii...... poleni aky wadanganyika, mzidi tu kuji console woiyee..😪😪..
ila tuusan anawaambiaga ukweli sikuzote, ila nyinyi kukubali matokeo yaliyo wazi kabisa ndio issue.! yani ni kama ku force 1+1=2, iwe 1+1=3

nb: kwani 2018 na 2022 kwenye electricity production, ni wapi na wapi.? yani ni manukta tu.........
 
Wakenya wameanza kupenda ndege zetu

Kuna abiria wa kikenya huwa wanapanda Atcl kwenda kwao japo kuna KQ inayokuja na kuondoka kila siku.

Kuna abiria mmoja ni mweusi ila ni Mwingereza by nationality lkn ameishi sn Tz na Kenya, yeye alisema wazi wazi kabisa kwamba ndege za atcl ni nzuri kuliko za KQ, pia wageni tofauti tofauti especially wazungu wamekuwa wakisifia sn ndege za atcl na terminal 3 as well, yn mpk raha, the future is promising
 
Back
Top Bottom