Yamungu Athumani
JF-Expert Member
- Apr 23, 2016
- 1,383
- 3,257
Tafutaga Picha zingineKamradi kazuri haka. Lieni kabisa. View attachment 2119262
unatujazia Upuuzi huu huu jf
Tafutaga Picha zingineKamradi kazuri haka. Lieni kabisa. View attachment 2119262
Thubutu huo ndo mradi mkubwa kabisa hapo Kunyaland!Tafutaga Picha zingine
unatujazia Upuuzi huu huu jf
wachina wamewaingiza mjini aiseeUsilie sana View attachment 2119252
Yeah Mangi OG hapa 😀Kumbe wewe homeboy
Kwani jf ni ya mamako? Mwambie anibanTafutaga Picha zingine
unatujazia Upuuzi huu huu jf
Mchina katubarikiwachina wamewaingiza mjini aisee
Haswaaa, hawa sio watu ni manyaniSiyo Magufuli tu hamna Mtanzania mwenye akili timamu yeyote atakayeweza kuipenda kunyaland
Kwanini wasitoe GDP ya ukweli?2025 GDP ya Tz itakuwa ishagonga $200bn japo makaratasi yataandika $110bn.
Hao wakikuyu wenyewe wanawafanyiaga roho mbaya wakulima wa kichagga kwa mambo kama haya miaka nenda rudi sema wachagga sio watu wa kulalamika na vile wanaona hapa hatukufanya dili kwa kutumia vibali basi wanakaa kimyaVipi mnachukia pale anapokamata Ng'ombe wanaoingizwa Tanzania bila kibali eti kwasababu tu wamasai wa Kenya na Tanzania ni ndugu?, Ina maana undugu unafuta Sheria za nchi?, Mbona zaidi ya Ng'ombe 3000 za Rwanda zilitaifishwa na hatukusikia Rwanda ikisema Magufuli anachukia Rwanda?, Vivyo hivyo kwa vifaranga?
Halafu ukikutana nao ni unafiki kwenda mbele tena ukabila wao upo wazi cha kwanza ni utaulizwa wewe ni kabila gani, then ukiwa si Mchagga utaskia wakibagua live wakijidai wao ni kama Wachagga! Utaskia sisi hufanyaga biashara na Wachagga na ukitaka kuwatumia jifanye Mchagga! Hawa jamaa ni wapuuzi sana!Hao wakikuyu wenyewe wanawafanyiaga roho mbaya wakulima wa kichagga kwa mambo kama haya miaka nenda rudi sema wachagga sio watu wa kulalamika na vile wanaona hapa hatukufanya dili kwa kutumia vibali basi wanakaa kimya
Subiri nikueleweshe kidogo bro, mapato ya kodi kuwa chini hapa Tz haitokani na uzalishaji kuwa chini, lahasha! Ispokuwa inatokana na mifumo mibuvu ya ukusanyaji kodi na mengi kati ya makampuni kutolipa au kukwepa kodi,na ndio maana Magufuli alileta mfumo wa ukusanyaji kodi kwa kutumia vikosi kazi (task force), mf Bakresa mwenyewe alikua halipi kodi kabisa, kuna makampuni ya uchimbaji madini yalisamehewa kodi milele na kampuni nyingi tu. Ila mama alivyoingia madarakani alijitia umbea kuondoa tasks force) na ndio maana makusanyo ya kodi yanashuka zaidi, ila upo uwezekano mkubwa mno kwamba sisi tunazalisha kuwazidi hata mara mbili, huu ni ukweli ambao kila mtanzania anaujua haswaa wapinzani wa serikaliIkumbukwe Kenya ilifunga uchumi wake wakati TZ haijawahi kufunga uchumi wake. Halafu wajinga wanasema uchumi wa Kenya ni wa makaratasi.