Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 72,900
- 103,769
Tatizo liko wapi? Kama vitarudishwa ina maana vimekodishwa!Hiyo ni test Loco ya SGR.. Kanunua TRC. Na shughuli ya ku test reli ikiisha hivyo vichwa vitarudishwa.
Tatizo liko wapi? Kama vitarudishwa ina maana vimekodishwa!Hiyo ni test Loco ya SGR.. Kanunua TRC. Na shughuli ya ku test reli ikiisha hivyo vichwa vitarudishwa.
Show me 2 of them! I mean proper interchange na si some butthole kondole/kondele kisa ina size ya kupenya gari!Kisumu is building its sixth interchange hawa bado ni mchoro tu........what a useless country. Ati capital city....lol
Dont change the post , my qz is when you compare the two which one is better looking, leave aside there functionsTukijenga hizi flyover za tofali mnaziita ushamba, mkizijenga mnajipiga vifua. Ndio maana nasema haya matusi yenu ni wivu tu.
Nionyeshe mliyo jenga kama hiyo?Mkianza kuzijenga mtajipiga tu vifua. Si naona mmeanza kujipiga vifua juu ya flyover za tofali zenye mlikuwa mnaita ushamba tukijenga.
View attachment 2116377
Are you insulting me over a hunch? real...hope you can do better than that, time will tell kati ya tui la nazi na maziwUsiwe zuzu unaweza kuta mpumbavu mmoja humu ndani kaandika ku-discredit TRC Mbarawa juzi kaeleza treni za umeme majaribio ya SGR za mkandarasi zinakuja Tar. 17! Subiri uone!
Unaelewa maana ya flyover ya tofali? Iko wapi hapo flyover ya tofali?Mkianza kuzijenga mtajipiga tu vifua. Si naona mmeanza kujipiga vifua juu ya flyover za tofali zenye mlikuwa mnaita ushamba tukijenga.
View attachment 2116377
Port ni nyingi Sana wala sio hizo tuu, nyingine inaitwa New Kipili port, serikali inatafuta pesa nayo kuiunganisha na barabara ya lami kutoka Sumbawanga/Namanyere mjini.Kuna port kama 3 hivi zinazoweza ku join na DRC ..Karema, Kasanga and Kigoma..after completion our focus should be adding many shipping..vessels as per demand...
And kuhakikisha Reli imefika kigoma na karema port ..tukishashika Transport ya Eastern DRC yote...
NMB na CRDB waingie sasa Congo...
Hata ningekuwa GOT ningestudy telecommunication ya Congo...kisha kufikiria kupeleka Mkongo wa mtandao kama hawana..plus TTCL kuanzisha mtandao kule ...
Hii ndo itafanya tu benefit na uchumi mkubwa wa DRC
naomba nipost bila make up plz😂😂😂
yani bridge yenyewe ndogo munakaa kujaza uchafu humu ndani 🤣🤣🤣🤣🤣
Haifikii hata kilombero bridge
Are you insulting me over a hunch? real...hope you can do better than that, time will tell kati ya tui la nazi na maziw
.. mnajitahidi mnakujakuja 
.. hawatafurahi wakiona hii😂😂
The traffic at Kisumu is bigger than those of Arusha and Mwanza airports put together.no need to prove ur point! it's like calling Kisumu airport, international while no single cross border flight lands there! The name should be Kisumu Local Airport!