Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 72,894
- 103,759
ila huwezi kusema majaribio hayahusu abiria hata kama si wakulipia! hata ndege hufanya majaribio na abiria wasio wa kulipia!Kuweka abiria ni hatua ya mwisho kabisa
ila huwezi kusema majaribio hayahusu abiria hata kama si wakulipia! hata ndege hufanya majaribio na abiria wasio wa kulipia!Kuweka abiria ni hatua ya mwisho kabisa
Expressway imekuuma sana sioKenya mna road Kama ile inayojengwa Dodoma? Tangu lini mkajenga vitu standard nyie zaidi ya kufosi mambo? Mlipoona tumejenga 3level ya kwanza East and Central Africa na nyie mkaiga kuilazimisha expressway ipite maneno hata yasiyo lazima mradi tu na nyie mpate 3level![]()


Mkurugenzi kasema kichwa cha majaribia ya mkandarasi kinaingia tarehe 17.02.2022Peleka ujinga! Kwani majaribio ya njia ya reli inafanyika Tanzania mara ya kwanza duniani hapa Tanzania isijulikane yanafanyika vp? Na kwanza hamna aliyesema certain kwamba vimenunuliwa na nani! Mimi binafsi nimetaka kujua nani kanunua hivyo vichwa vichakavu kati ya TRC na Yapi merkezi! Kama Yepi Merkezi naweza kuwaelewa ila si TRC!
Sisi tuna mahitaji navyo km nyie hamna kabenikujenga maduara duara ya siyo na maana ndiyo urich ,kweli we kiazi
jengeni vitu kulingana na mahitaji,siyo kujenga jenga vitu ilimradi angalau hiyo express way imejengwa sehemu sahihi na mda sahihi na baadhi ya flyover na interchange zilizopo sehemu zenye ubize,ila hivyo vingine mlivyojenga ni takstaka tu hazina manufaa kwa mkenya mzalendo zaidi na zaidi ni matumizi mabaya tu ya pesa,
wenzetu walishapiga hatua mda sana ndiyo maana walijenga miundo hiyo ila si kama yenu ya kikenya maduara type for nothing vichskani
Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app


Hiko kikiwa hiki tunachoongelea sina tatizo! Maana hata kile cha diesel hakikua kipya Yapi Merkezi kama kampuni wamekitumia pia Ethiopia na sehemu nyingine! Ila TRC hawapaswi kununua vichwa vilivyotumika!Mkurugenzi kasema kichwa cha majaribia ya mkandarasi kinaingia tarehe 17.02.2022
HAWA WASEE HUTOA WAPI NGUVU YA KUITA KINA DODOMA NA MBEYA ATI CITIES.....SMHExpressway imekuuma sana sio
Ya dodoma hamna jipya pale,
Dodoma inakwenda kuchapa Nairobi mapema kabisa, Dodoma inakwenda kuwa na infrastructure ambazo Nairobi hakuna mfano ring road U/C, modern airport (Msalato U/C), Electrified SGR U/C, new and organize government city (Mtumba U/C) cjui ka Nairobi katatokea wapi kwa DodomaHAWA WASEE HUTOA WAPI NGUVU YA KUITA KINA DODOMA NA MBEYA ATI CITIES.....SMH







we mwanamke hebu tulia,hata unachokiongea hukijuiSisi tuna mahitaji navyo km nyie hamna kabeni
Km mahesabu yenu ni ya hapa juu juu shauri yenu...
Sie tukijenga kitu kinakua superior miaka nenda miaka rudi mpka badae ndio watu waje nao wajenge..
The likes of nyali bridge, kicc, thika superhighway, nyayo stadium yani kw east africa mlichukua karne za kuhesabu kukomboa hvyo vitu..
Sai tumewapiga bao la expressway..miongo mitatu hyo
Yani picha ya Mombasa ndio inafanya ulie hivo? Kwa barabara Mombasa ilishachapa Dar kitambo. Saa hii mmebaki na kujichocha tu.Ile cku Kenya itapata 3level interchange kama ya Ubungo au kama hii ya Dodoma ndiyo cku naachana na hii battle 👇👇🤣🤣🤣
Hili dude bhn hata Kama linavuta double decker lkn silo tulilokubaliana.
Emu nitajie hapo kipi nimesema uongowe mwanamke hebu tulia,hata unachokiongea hukijui
Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app


Kwa wazee wa kupopoma nawashauri wasome chini kabisa kwenye hicho kichwa cha Train inasomeka SGR TEST LOCOMOTIVE
View attachment 2116162
hii ni picha ya kuchora!Mombasa Raha.....Sun n sandView attachment 2115202View attachment 2115203
Kwa hapa tumeshajua ni vichwa vya Yapi Merkezi sina tatizo! I close my case!Kwa wazee wa kupopoma nawashauri wasome chini kabisa kwenye hicho kichwa cha Train inasomeka SGR TEST LOCOMOTIVE
View attachment 2116162
Umesahau proper brt, modern metro trains, state of the art stadium etc. Pia Dodoma city ina plan kabambe ya green city circular iko katika kila wizara na taasisi za serikali kutekeleza hiloDodoma inakwenda kuchapa Nairobi mapema kabisa, Dodoma inakwenda kuwa na infrastructure ambazo Nairobi hakuna mfano ring road U/C, modern airport (Msalato U/C), Electrified SGR U/C, new and organize government city (Mtumba U/C) cjui ka Nairobi katatokea wapi kwa Dodoma![]()
Mombasa is more developed than that dar of theirsYani picha ya Mombasa ndio inafanya ulie hivo? Kwa barabara Mombasa ilishachapa Dar kitambo. Saa hii mmebaki na kujichocha tu.
View attachment 2116163
View attachment 2116169
View attachment 2116170