Amari
JF-Expert Member
- Nov 16, 2021
- 974
- 2,145
Hakuna tatizo Boss..Tatizo liko wapi? Kama vitarudishwa ina maana vimekodishwa!
Ni hivyo tu kwamba hicho ni kichwa cha majaribio na ni TRC wameagiza na baada ya kazi yake watarudisha.
Ishu ni Ile mwanzo wadau walikuwa wanadhani ndio EMU zenyewe ziko hivyo.