Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 72,894
- 103,759
Sijaona hilo neno test.Kwa wazee wa kupopoma nawashauri wasome chini kabisa kwenye hicho kichwa cha Train inasomeka SGR TEST LOCOMOTIVE
View attachment 2116162
Tukijenga hizi flyover za tofali mnaziita ushamba, mkizijenga mnajipiga vifua. Ndio maana nasema haya matusi yenu ni wivu tu.
Sijaona hilo neno test.
Mkianza kuzijenga mtajipiga tu vifua. Si naona mmeanza kujipiga vifua juu ya flyover za tofali zenye mlikuwa mnaita ushamba tukijenga. 🤣🤣🤣kabisa na tatizo lao kuna vitu wanajenga for nothing yaani havina mantiki
Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
Sometimes keybord inaswitch words, but pay attention on the objective of my commentattation ndo nn?
Saa yoyote tawi linafunguliwa
Kwanini hapa haikutajwa yarp merkez ikawekwa Tz?Mkurugenzi kasema kichwa cha majaribia ya mkandarasi kinaingia tarehe 17.02.2022
Ndo maana Mna local airport Kisumu mnaiita international facility mwaka wa 10 haijatua airline toka abroad!Mkianza kuzijenga mtajipiga tu vifua. Si naona mmeanza kujipiga vifua juu ya flyover za tofali zenye mlikuwa mnaita ushamba tukijenga. 🤣🤣🤣
View attachment 2116377
Kwanini hapa haikutajwa yarp merkez ikawekwa Tz?View attachment 2116382
Usiwe zuzu unaweza kuta mpumbavu mmoja humu ndani kaandika ku-discredit TRC Mbarawa juzi kaeleza treni za umeme majaribio ya SGR za mkandarasi zinakuja Tar. 17! Subiri uone!Kwanini hapa haikutajwa yarp merkez ikawekwa Tz?View attachment 2116382
Hiyo ni test Loco ya SGR.. Kanunua TRC. Na shughuli ya ku test reli ikiisha hivyo vichwa vitarudishwa.
Tofauti na iyo high way, ivyo vi overpass mnaita interchange ndio vinalast forever real?Sisi tuna mahitaji navyo km nyie hamna kabeni
Km mahesabu yenu ni ya hapa juu juu shauri yenu...
Sie tukijenga kitu kinakua superior miaka nenda miaka rudi mpka badae ndio watu waje nao wajenge..
The likes of nyali bridge, kicc, thika superhighway, nyayo stadium yani kw east africa mlichukua karne za kuhesabu kukomboa hvyo vitu..
Sai tumewapiga bao la expressway..miongo mitatu hyo
Dodomia ni hatari sana,Dodoma future is brightYani picha ya Mombasa ndio inafanya ulie hivo? Kwa barabara Mombasa ilishachapa Dar kitambo. Saa hii mmebaki na kujichocha tu.
View attachment 2116163
View attachment 2116169
View attachment 2116170
Tusichangane vitu, hapa kuna set mbili za Electrical trains zinazokuja between now (February) and April 2022:Kwanini hapa haikutajwa yarp merkez ikawekwa Tz?View attachment 2116382
Kisumu is building its sixth interchange hawa bado ni mchoro tu........what a useless country. Ati capital city....lolMkianza kuzijenga mtajipiga tu vifua. Si naona mmeanza kujipiga vifua juu ya flyover za tofali zenye mlikuwa mnaita ushamba tukijenga.
View attachment 2116377
Nilikuambia siku airport zenu zote combined zitafika nusu ya traffic ya JKIA pekee njoo tuongee.Ndo maana Mna local airport Kisumu mnaita international mwaka wa 10 haijatua airline toka abroad!