muhogo_kiks
JF-Expert Member
- Dec 4, 2018
- 1,759
- 4,854
Kama wanaleta mtumba basi kuanzia Leo magari yote ya serikali, wabunge na viongozi wote yawe mtumba tu. Wasituchanganye hawa.Wao wamenunua sh ngapi na gharama ya refurbishment ni sh ngapi we need to know that na sheria yetu ya manunuzi inasemaje kuhusu used equipment. Kodi yangu haiwezi kwenda kizembe hivi.