Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Dodoma inakwenda kuchapa Nairobi soon.
Hivi master plan ya public transport kama BRT imefanyika vizuri dodoma ? Maana naona kama wanaunga unga mipango pasije pakatokea utata kama mji wa dar ,nivizuri tuwe na kitengo chenye watu wenye weledi mzuri kusuka na kudizaini miji kuliko tulionao sasa hivi hata hawajulikani ni kina nani , inatakiwa tuwe na city lab ya kiwango cha juu kabisa maana mm naona makosa ni mengi kwenye mipango yetu
 
Hehe.....
vitu ziko Kisumu Eldoret Nakuru Meru Thika Kisii na Mombasa ndio mnataka kuanza planning......hehehe. I pity your ignorance and stupidity
Hivyo vyenu low IQ havizingatii modern public transport systems kama brt
 
Try to answer the question you are asked. Kama huna jibu heri unyamaze
Eastleigh ndio largest shopping area in Kenya by area and by value na Eastleigh yote ni Mali binafsi ya msomali, you can't change it 😑
 
High skilled technical engineers wa SGR Watanzania ni 51% wageni ni 49%

Wakunya kwenye mradi wao wa MGR na huu wa Expressway ya mchina, mchina kakamata skilled labor yote 100%

Mkunya ni kibarua tu, halafu wanajidanganya wana elimu kubwa kutuzidi sisi

 
Hii kesi ya Mbowe, kuna baadhi ya maofisa wa Polisi, hawataisahau maana utakuwa ndio mwisho wao katika utumishi wa umma
Screenshot_20220113-130947.jpg
 
“Usinipitezee muda wangu” says someone using his valuable time typing utter bullshit. Kama maneno niliyoandika hayana ukweli ungetoa sababu, sio kunikejeli. Wewe ni mpumbavu na hujitambui. Jiweke kwenye nafasi ya mtu mwenye ngozi nyeusi halafu usome upuuzi ulioandika. Rangi zote za binadamu ni nzuri. Huu ujinga wako wa kudhani kuwa light skin equals beauty and dark skin equals ugliness inabidi uache!
Huu upumbavu wako peleka kwa mkeo na wazazi wako, tafadhali usinizoee, Kama vipi potezea "posts" zangu, Kama huwezi kujibu kwa staha na heshima tafadhali Sana achana na Mimi.
 
Back
Top Bottom