Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Aliesema hawaitwi waarabu nani?

Mbona unapaniki?
Na mbona huwasemi Wasomali walioikamata Kenya yote kwamba sio wakenya? Sio ninyi mnaosema Wasomali ni 4th largest tribe of kunyaland?

Lakini wenyewe hawaitambui kunyaland pamoja na kwamba wao ndio wenye uchumi wenu wote

View attachment 2113265
Skia bangi, kunywa maziwa pirates ndio unasifia hapa
 
Huu ubaguzi umu kauleta mwenzenu baada ya ku question asili ya rubani wetu kwaiyo usihamishe goli kwani hamjui pwani ya afrika mashariki waarabu wameekuwepo kwa miaka 300 na zaidi au wahindi kwa takribani miaka 150 ni kama sisi tuanze ku question asili ya mke wa uhuru

Nimependa huyo fala wa Kikunya na mikunya myenzie mibaguzi ilivyopelekewa moto,
Hawarudii tena mbwa hawa
 
Being light skinned does not impress me bro, nimesema huyo pilot ni Mwarabu, nimesema ukweli ama uongo? Hivi umekua mwanamke unaringa na rangi ya ngozi?

That was awkward for you to come with such hillbilly remarks,
Kwaiyo hata Rais wetu mstaafu mzee Mwinyi utamwita mwarabu? au Sisi wahehe chief wetu tuseme ni Mwarabu ?
Na kikwete na Nyerere only because of their skin color? Dude you lost it.
 
Fikra za shetani tu kama kawaida, last election mlisema hivo poleni sana

Mbona unalaumu watu for your own misfortunes? you kill each other like animals and blame Tanzanians
Kuweka Kumbukumbu sawa ni kuwa atleast 100 died due to police shooting in 2017,
This year we pray you don’t. Maana mnakiwaga na ushamba sana wa siasa because of stupidity mtu wenu syndrome
 
Somalis are natives, Arabs are not. They also don't own that much as you think.
Now the ball is on your side 😅
Retailing business is owned by somalis na hata viwanda and real estate pia Dada zenu wanawapapatikia sana Wasomali 😅😅

Huwezi kumuondoa msomali Kenya bila uchumi wa kenya kubaki zero
 
sijui ni hadi lini hawa watz watakuja kuelewa kuwa gdp ya kenya $109b sio tu kwenye makaratasi ama imechongwa ......
yani from this report of AfricaBusiness2021, of 25 top companies in east africa, kenya ina 15 slots.! ikiongozwa na safaricom; ikiwa na market capitalization of $13b, and which make it to top10 list in africa!.. Tz ikiwa na 8 slots, ikiongozwa na tanzania breweries, ikiwa na market capitalization of $1.3b, na ikiwa no.90 in africa!.

then napenda vile za kenya zina dorminatiwa na finance, telecommunication etc, huku za tanganyika ziki dorminatiwa na beer na sigara. 😆
alafu unaskia mtu akisema eti gdp yetu ni ya makaratasi ama ni ya mchogo..
hoja hapa ni kwamba, maana ya kuwa na gdp kubwa ni kua, tutawabandua kwenye sekta nyingi.. (jana thru tuusan ilikua ni kwa kilimo na umeme, leo ni kwa report ya makampuni, kesho itakua ni kwa kitu kingine, and so on, and so on...).. mtakuja tu kuelewa siku moja, msije tena kusema eti gdp ya kenya ni kwa karatasi..

i ll capture a full snapshot tomorrow using tablet..
meanwhile here is the link👇🏽

Africa's Top Companies 2021: East Africa - African Business

and here is a snapshot section of the 2021AfricaBusiness report👇🏼

Screenshot_20220209-060506_Chrome.jpg

Screenshot_20220209-045755_Chrome.jpg
 
Ni sawa bichi kidimbwi...kwa kiswahili najua mmetushinda...tena kwa mbali sana aisee..si unajua tena sisi wakenya huwa watu wa true ..tunaposhindwa huwa tunakubali hands down..na tz mjifunze kuiga mfano huo....tukisema kenya uchumi mkubwa..kubali....tuko juu yenu ...kubalini mwache ubishi....barbara zetu ziko bora....kubali....shule zetu ziko juu zaidi...kubali etc
Kuhusu barabara bora huo ni uongo buda, Sisi tuna hadi dedicated lanes kwaajili ya BRT kitu ambacho kenya hamna. Pia hata wakenya waliokuja Tanzania wanasifia barabara hadi za mikoani kwa alama za barabarani. Hiyo definition yako ya barabara bora umeitoa wapi?
Ninachoweza kukubali ni kwamba mna flyovers nyingi ila sio bora na nyingi ziliwekwa kwa maonyesho bila tija tofauti na sisi flyovers zetu zimewekwa kulingana na mahitaji na nyingine nyingi zinakuja.
 
kiswahili gani nyie wabongolee mtatufunza sisi.. mwanzo kiswahili chose, kilianzia kenya, around lamu, kilifi, mvita (mombasa), kwale, hola, etc.. ni nyie waTz ndo mlifanya kuiba lugha yetu
Jifariji tu, unajua kwanini nyie kimewashinda? Kwa sababu kiswahili kina maneno mengi ya wabantu waliopo Tanzania. Acheni kujipa sifa za uongo
 
sijui ni hadi lini hawa watz watakuja kuelewa kuwa gdp ya kenya $109b sio tu kwenye makaratasi ama imechongwa ......
yani from this report of AfricaBusiness2021, of 25 top companies in east africa, kenya ina 15 slots.! ikiongozwa na safaricom; ikiwa na market capitalization of $13b, and which make it to top10 list in africa!.. Tz ikiwa na 8 slots, ikiongozwa na tanzania breweries, ikiwa na market capitalization of $1.3b, na ikiwa no.90 in africa!.

then napenda vile za kenya zina dorminatiwa na finance, telecommunication etc, huku za tanganyika ziki dorminatiwa na beer na sigara.
alafu unaskia mtu akisema eti gdp yetu ni ya makaratasi ama ni ya mchogo..
hoja hapa ni kwamba, maana ya kuwa na gdp kubwa ni kua, tutawabandua kwenye sekta nyingi.. (jana thru tuusan ilikua ni kwa kilimo na umeme, leo ni kwa report ya makampuni, kesho itakua ni kwa kitu kingine, and so on, and so on...).. mtakuja tu kuelewa siku moja, msije tena kusema eti gdp ya kenya ni kwa karatasi..

i ll capture a full snapshot tomorrow using tablet..
meanwhile here is the link

Africa's Top Companies 2021: East Africa - African Business

here is a snapshot section of the 2021AfricaBusiness report here

View attachment 2113329

Yet you can’t extend the SGR to malaba without china.
So poor, so broke..
 
sijui ni hadi lini hawa watz watakuja kuelewa kuwa gdp ya kenya $109b sio tu kwenye makaratasi ama imechongwa ......
yani from this report of AfricaBusiness2021, of 25 top companies in east africa, kenya ina 15 slots.! ikiongozwa na safaricom; ikiwa na market capitalization of $13b, and which make it to top10 list in africa!.. Tz ikiwa na 8 slots, ikiongozwa na tanzania breweries, ikiwa na market capitalization of $1.3b, na ikiwa no.90 in africa!.

then napenda vile za kenya zina dorminatiwa na finance, telecommunication etc, huku za tanganyika ziki dorminatiwa na beer na sigara.
alafu unaskia mtu akisema eti gdp yetu ni ya makaratasi ama ni ya mchogo..
hoja hapa ni kwamba, maana ya kuwa na gdp kubwa ni kua, tutawabandua kwenye sekta nyingi.. (jana thru tuusan ilikua ni kwa kilimo na umeme, leo ni kwa report ya makampuni, kesho itakua ni kwa kitu kingine, and so on, and so on...).. mtakuja tu kuelewa siku moja, msije tena kusema eti gdp ya kenya ni kwa karatasi..

i ll capture a full snapshot tomorrow using tablet..
meanwhile here is the link

Africa's Top Companies 2021: East Africa - African Business

and here is a snapshot section of the 2021AfricaBusiness report

View attachment 2113336

View attachment 2113329
Sisi hatutaki kuona GDP kwenye makaratasi sisi ni Tomaso tunataka tushike na kuona GDP kwa mikono yetu na macho yetu kama ilivyo huku Tz na viongozi wetu wanajua tabia hiyo ya waTz ndio maana hawatuchezei kila kukicha wanatushikisha GDP na kweli tunaiona.
 
mko na upuzi sana. shame on you , sote Waafrika tunafanana , i am proud of my black skin,and if you are not, shame on you!! nenda ukajigeuze kule, tuache na melanin yetu..

BLACK AND PROUD TANZANIANS!!

View attachment 2113159
View attachment 2113162View attachment 2113165
View attachment 2113169
View attachment 2113170
Nyie mnaubaguzi sana. Hata wazungu og wapo na aina tofauti ya rangi zao, kuna wanoelekea ualbino na wengine uchocolate, wana macho ya rangi tofauti na nyewle rangi tofautitofauti pia. So hat Africa kuna wenye light skin bila hata kuchanganya na waasia, amerika na ulaya mfano halisi ni warangi na wachaga. Sasa usijustify kwamba uafrica ni kua mweusi tii, hiyo ni dhana aliyoandikizwa na mzungu na watumwa pekee ndo wanaokubali hiyo dhana
 
Yani nyinyi ni wajinga heri mbwa. Yani Mwarabu akizaliwa Tanzania atabadilika asiwe Mwarabu? Hizo hadithi njoo pelekea Paukwa Pakawa boss, hata huku Kenya Waarabu wazawa wapo lakini ni Waarabu bado. Ng'ang'aneni muache kutawaliwa na waarabu.
Hatujakataa waarabu huko kwenu pia wapo lkn hii haibadilishi ukweli kwamba wakenya halisi mna ngozi chafu
 
Back
Top Bottom