Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 72,913
- 103,782
Wapo Polepole sana
Did I say I wouldn't?You too will die
KAZI KAZI day and night hakuna kulala
Seriously? Hivi unajua hizo pillars ziko ngapi na zinaenda depth ipi? Wako on schedule mzee, unless hujui ukubwa wa kazi iliyopo!Wapo Polepole sana
Hili ndio Daraja Refu EAST AFRICA
Wewe ndio maana kila mtu anakutukana sio mstaarabu,kwani ni lazima niwe sahihi sana?kama nmekosea sawa ila wewe hua hukosei?....unafikiri $3bn kwenye utalii ni pesa ndogo ilhali na covid-19 imeshashusha mapato kwa zaidi ya nusu...kama mwaka 2019 tulipata $2.6bn na imeshashuka hadi $ 1bn ni kitu gani kinakufanya uone $3bn ni ndogo?...Wewe unatoa wapi hizi figures? Hiyo figure yako ya mining ni kiasi cha revenue ya dhahabu ina-contribute kwa Tanzania at the moment tena sasa kuna refineries (it should have gone higher)! Contribution ya Mining itself sasa ipo juu ya $4 bln na target ni $10 bln tena inaongelewa kila siku!
Pili hiyo tourism kwa sasa ni zaidi ya $2.6 bln tena tangu 2019 japokuwa imeshuka kwa covid, sasa unawezaje kusema target yetu iwe $3 bln in 2025? Aisee wacha ujinga!
Halafu ati industrial products ni $1.5 bln wewe ni mpumbavu wa aina gani? Yaani unataka kusema cement, steel n all consumer goods by giant conglomerates in the region ni $1.5 bln? Hivi unajua METL itself ni zaidi ya hiyo figure ya $1.5 bln kwa mwaka! ficha upumbavu aisee!
Ati agri products target ni $1 bln juzi nimesoma TAHA alone wanaongelea ku-cross that figure alone in the near future! Kumbuka hao ni horticulture alone! sasa tunalisha kila jirani halafu useme $1 bln tu? Hivi unajua Tanzania leads in the export of maize, pulses, rice, victoria fillets, meat, cashews, sesame n avocado is growing fast!
Mimi si economist ila naona ujinga ulio nao! BTW sioni service sector hapo juu, sasa kwa nchi nyingi duniani services inachukua mpaka 40% of the GDP, consider SGR is working, Air Tanzania is flying intercontinental, and roads r improved! R u trying kuniambia is a non factor?

...umenifanya nicheke kidogo...Hili daraja linaunganisha upande wa pwani na morogoro ili kusaidia camp za upande wa kulia na kushoto ambao ni pwani na morogoroKAZI KAZI day and night hakuna kulala
Mimi nazungumzia revenue ya METL group on a year basis na ndo maana nakuita Mpumbavu, mwerevu anachunguza bila kukurupuka haijanichukua 10 minutes kukupa hizo facts ila kama kawaida yako hujasoma link niliyokupa umedandia kwenye utajiri wa Mo mwenyewe ukasahau METL ni kubwa zaidi ya Mo! kwahiyo unataka kusema na Bakhresa group haipati revenue ya above $1 bln on year to year basis?Wewe ndio maana kila mtu anakutukana sio mstaarabu,kwani ni lazima niwe sahihi sana?kama nmekosea sawa ila wewe hua hukosei?....unafikiri $3bn kwenye utalii ni pesa ndogo ilhali na covid-19 imeshashusha mapato kwa zaidi ya nusu...kama mwaka 2019 tulipata $2.6bn na imeshashuka hadi $ 1bn ni kitu gani kinakufanya uone $3bn ni ndogo?...
So considering last yr gold ilichangia $2.8bn kwahyo unadhani itadouble ndani ya miaka mitatu ijayo kwa kua kuna refinery industry?
Wewe unazungumzia utajiri wote wa Mo ndio unadhani ni bidhaa anazouza...umenifanya nicheke kidogo...
Anyway ulikua sahihi target ya horticulture pekee ndio $1bn sio sector nzima ya agri
Uchumi umeporomoka mama ana angaika ikulu, upumbavu wake unamponza wa kusema uchumi utaporomoka kisha atauinua ,,,kwani ukumsikia alipo sema hayo ,hizo takwimu ulizo weka wewe geza ni mwelekeo wa jpm mama kaharibu kila kitu sasa hivi TRA INAKUSANYA NUSU YA MAPATO ILIYOKUWA INAKUSANYA KIPINDI CHA JPM HII NI HABARI YA KWELI KAMA HUAMINI MTAFUTE MTU WA TRA YOYOTE TOP ATAKUAMBIA ....hii ndiyo sababu mama kalazimisha tax force kurudi,...usidanganyika na matangazo ya kupika anayoyolewa na serikali ,sasa hivi serikali inategemea mikopo tu kupata fedha na kuwa na hazina ya fedha za kigeni ,JPM aliacha hazina ya madini benk kuu mama kayauza yote pesa aijulikani ilipo hivi majuzi kuna mambo machafu yamefanyika benk kuu ya kuharibu nyaraka zote za kumbukumbu muhimu kuhusu hesabu za bank kuu ili kuficha ufisadi ambao serikali ya mama inaendelea kufanya ,85% ya madini bank kuu imekombwa kwa mwongozo kutoka ikuluWewe unatoa wapi hizi figures? Hiyo figure yako ya mining ni kiasi cha revenue ya dhahabu ina-contribute kwa Tanzania at the moment tena sasa kuna refineries (it should have gone higher)! Contribution ya Mining itself sasa ipo juu ya $4 bln na target ni $10 bln tena inaongelewa kila siku!
Pili hiyo tourism kwa sasa ni zaidi ya $2.6 bln tena tangu 2019 japokuwa imeshuka kwa covid, sasa unawezaje kusema target yetu iwe $3 bln in 2025? Aisee wacha ujinga!
Halafu ati industrial products ni $1.5 bln wewe ni mpumbavu wa aina gani? Yaani unataka kusema cement, steel n all consumer goods by giant conglomerates in the region ni $1.5 bln? Hivi unajua METL itself ni zaidi ya hiyo figure ya $1.5 bln kwa mwaka! ficha upumbavu aisee!
Ati agri products target ni $1 bln juzi nimesoma TAHA alone wanaongelea ku-cross that figure alone in the near future! Kumbuka hao ni horticulture alone! sasa tunalisha kila jirani halafu useme $1 bln tu? Hivi unajua Tanzania leads in the export of maize, pulses, rice, victoria fillets, meat, cashews, sesame n avocado is growing fast!
Mimi si economist ila naona ujinga ulio nao! BTW sioni service sector hapo juu, sasa kwa nchi nyingi duniani services inachukua mpaka 40% of the GDP, consider SGR is working, Air Tanzania is flying intercontinental, and roads r improved! R u trying kuniambia is a non factor?
What do you mean by Agri Input ..?raw materials onlyTz vision by 2025
1.Agri input $1Bn
2.mining sector $3bn
3.tourism sector $3bn
4.industrial products $1.5Bn
Haya yanawezekana...tukiweza attracts more investors sababu umeme utakuwepo wa kutosha tunavuka...ila sijajua kwann forecast gdp wameweka $92bn
SASA WEE BWANA NI KA AMBAYE HUJUI UNASEMA NINI...HAPA EAST AND CENTRAL AFRICA KENYA NDIO IKO NA MANY KILOMETERS OF PAVED ROADS TENA KW AUMBALI SANA...NA UJUE HIVI..MLIPOKUWA MNAJENGA UBUNGO...AU KIJILIMA KWA MANENO YA BABA LEVO...MLIKUWA MNASEMA YA KUWA HIYO NDIO THE BEST EAST AFRIKA BILA KUJUA..Kuhusu barabara bora huo ni uongo buda, Sisi tuna hadi dedicated lanes kwaajili ya BRT kitu ambacho kenya hamna. Pia hata wakenya waliokuja Tanzania wanasifia barabara hadi za mikoani kwa alama za barabarani. Hiyo definition yako ya barabara bora umeitoa wapi?
Ninachoweza kukubali ni kwamba mna flyovers nyingi ila sio bora na nyingi ziliwekwa kwa maonyesho bila tija tofauti na sisi flyovers zetu zimewekwa kulingana na mahitaji na nyingine nyingi zinakuja.
What do you mean by Agri Input ..?raw materials only
Agri exports kuna Traditional plus non traditional..uki combine mwaka jana imeingiza 2.2bil usd
I think we should focus on holticulture ,rice , cotton(plus processing), coconuts (plus processing), cashew nuts (plus processing)
Tukiweka nguvu kwenye agri..ya kiasi cha robo ya budget ya SGR ..mfano kuongeza irrigation scheme, kuzalisha fertlizer na kutafuta soko...Agri Exports can reach 3 to4 bil usd trust me
1..Build irrigation scheme ..weka watu wa rent at a very cheaper price or they can pay in goods .mfano kwa kila heka inayozalisha magunia 30 ya mpunga serikali ichukue mawili as tax...iweke reserve ... jenga scheme za heka million 5 hata
2..Serikali ishugulikie swala la sukari na ku take control..
3.Holticulture we are on right paths only few things needed ku improve ..labda masoko, na kuongeza wawekezaji, fertlizer , na soil chemistry..plus tunaweza kaza kilimo cha maua...
4 ..The thing is tanzania as private and goverment inabidi tuanze kupungza kilimo cha kutegemea mvua mapema...kuwe na irrigation scheme zitazoweza kuzalisha chakula hata mwaka mzima
5. Plan yao ya reserve na storage ni nzur na wapa hongera ..
6 ..I really want mapinduzi kwenye fish exports plus fish products that area can give us 500 mil usd each year
Manufcturing na agri vinaendana
Msd, Kairuki na Vista pharmaceticuals wataanza uzalishaji wadawa muhimu hii itasaidia ku export na kupunguza imports i think we are yet to use this fully..
Leather industires bado untapped potential inagwa tunaona kuna viwanda vya ngozi Moshi haswa haswa ..
Kitu ambacho tunahitaji kuongeza ni Textile making...tumerudi nyuma over the years na hii sector inabeba nchi nying za Asia ...
Milk products bado tunaweza ongeza viwanda vya maziwa
Tusifcous sana kwneye assembly ya magari kabla hatujatua.. Issue kama Textile , Leather, Medicines, Milk ,Sugar hizi ni areas tunaweza kuwa very superior ..na bado hatujaenda deep on them
Tourism..i thin 3bn usd is minimum..we need it 5bil by 2025
1 ..Kilimanjaro Cable Car..
2...Kumalizia ujenzi wa Iringa Airport, plus sumbawabga airport ..utasaidia sana Ruaha national park..ambayo iko famous sana sikuhiz...i think the potential on Ruaha, Gombe,Katavi, Kitulo is still huge..
3.Lets add Mafia , Tanga, Kilwa coastal cities bado hatujaziweka vizuri kuwa miji ya tourism..Tanga ,Kilwa na Mafia need an airport capable of atleast q400..all this can be good for beach tourism plus Mafia has great whale sharks,Tanga has caves and Kilwa has ruins ..create a good package for these like a triangle or something
4..Cruise Terminals needed in Dar, Znz, Pemba.
Hapa sijakusa vitu viwili muhimu ambazo nahisi BOT inabid waanze kuchukua Data na Govt inabid iwekeze ..
1.Medical Tourism...JKCI, MOI, Ocean Road. and border hosps like KCMC are doing good...but as they plan..to Kufungua MOI Kule Mara , which is better to have a lake zone orthopedic institute..ita treat watu wengi sana wa miji ya karibu na nje ya nchi...
Another Ocean Road or cancer centre is needed at Dodoma ..which will be bigger and better wekeza hata 100mil usd .on it...
We need to keep on acquring latest tools and tech for better customer services..this includes good hospital wards..which allow helicopter ziweze kutua directly ..esp at JKCI and MOI..
2.Conference and Sports tourism things like..Kili awards and Film awards naona zinarudi...
we need 2 conference centres zitakazoipita ya Kigali kulikuwa na plan ya MKiCC..Mount Kilimanjaro International conference centre Arusha....hii irudi..plus an auditorium to host big events even 15k seater ..at Dodoma or Dar whatever ..i think Dar is better..plan to host afcon tho it wont contribute directly ..muda huo..only inderctly later on..
..Re exports i think its a proper area to work on..Bagamoyo Port can give us that..but mhh mkataba inabidi uwe mzuri kweli kweli
Also new cargo terminal at Dar or Upcoming msalato that will be very big and have a very minimum airport fees to atttact big companies to set office in Dodoma..iwe kama freight centre airport ya Tz ..
Laslty..by 2025 i think tuwe tumepata FID ya LNG , na Mchuchuma na Liganga ..hii itaboost sana uchumi..hata FID ya biggest fertlizer plant iliyokuwa ijengewe lindi ikirud itakuwa magoli
View attachment 2113403

HUYO GEZA NI MJINGA AJUI KOVIDI ZILISHUSHA UTALII TENA KWA TZ TUNAYO KOVIDI YA PILI AMBAYO IMESABABISHA MAPATO KUSHUKA HIYO KOVIDI NI SA100 INASEMA WATU WALE KWA ULEFU WA KAMBA WALIZO JIPIMIAWewe ndio maana kila mtu anakutukana sio mstaarabu,kwani ni lazima niwe sahihi sana?kama nmekosea sawa ila wewe hua hukosei?....unafikiri $3bn kwenye utalii ni pesa ndogo ilhali na covid-19 imeshashusha mapato kwa zaidi ya nusu...kama mwaka 2019 tulipata $2.6bn na imeshashuka hadi $ 1bn ni kitu gani kinakufanya uone $3bn ni ndogo?...
So considering last yr gold ilichangia $2.8bn kwahyo unadhani itadouble ndani ya miaka mitatu ijayo kwa kua kuna refinery industry?
Wewe unazungumzia utajiri wote wa Mo ndio unadhani ni bidhaa anazouza...umenifanya nicheke kidogo...
Anyway ulikua sahihi target ya horticulture pekee ndio $1bn sio sector nzima ya agri
KWA KILE KIPATO KIDOGO MNAPATA KWA GDP..MBONA MHARIBU NGUVU ZA UMEME KWA PESA ZA UMMA
Hivi wewe nyang'au unamjua huyo jamaa? Captain Arif. Yuko air Tanzania zaidi ya miaka 30 sasa.Hadi mapilot hakuna mwafrika mweusi
Hiii kiswahili sasaVyakula vitele sokoni, na mashambani hela yako tu..
Wholesale pia zimefurika hela yako tu



