chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 14,316
- 45,125
Huko Tabora wapo waarabu tofauti kidogo na waarabu wengine wa maeneo mengine ya Tanzania, waarabu wa huko wanaongea kinyamwezi typically na wengi wao hawana trace yoyote ya ndugu zao huko uarabuni, % zaidi ya 90 sio waarabu purely bali ni machotara na hata lugha ya kiarabu wengi wao hawajui kabisa
Wanaishi maisha ya kawaida kabisa kama Watanzania wa kawaida vijijini

