Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sasa kama ipo mbona kila mtu mweupe unakimbilia kumwita mwarabu.

Wewe unabahati tu unatoka mombasa. Na moyoni mwako unaipenda Tz kuliko Kenya. Yani watu was mombasa mnateseka sana. Mnatamani sana tungekuwa tu mchi moja.
Kwn watu wa aina hyo au miji ya watu wa aina hyo hakuna kenya sio[emoji1787][emoji1787]
 
Sasa kama ipo mbona kila mtu mweupe unakimbilia kumwita mwarabu.

Wewe unabahati tu unatoka mombasa. Na moyoni mwako unaipenda Tz kuliko Kenya. Yani watu was mombasa mnateseka sana. Mnatamani sana tungekuwa tu mchi moja.
Nani kasema
 
🙏🙏 Vodacom kuunganisha shule zote Nchini kwa internet ya bure na kutoa computers 👇

Screenshot_20220209-090128.png
 
Sio kweli, huo ni wivu na tatizo kubwa la wakunya ni ukabila uliokithiri,
Ndio maana watoto wa kike wa kikenya huwa mnafanana na babu zenu sababu mko na ukabila ulioota mizizi, hamuwezi kuoana makabila tofauti na ku exchange genes,
Matokeo yake mnabakisha genes zilezile kwenye mzunguko mdogo na kufanya inbreeding, matokeo yake ndio haya sasa wengi wenu mnaanza kusema watz wanatumia mikorogo kisa watu wako free kuoa kabila lolote na kuchanganya genes.
Tz tuna makabila 120+
Watu wanaoa na kuolewa kokote kwa uhuru,
Huko kunyaland mpo vikabila 40 tu na bado mnakumbatia ukabila, diversity yenu in terms of genetics ni finyu, your gene pool ni ndogo sanaa..
Unakuta mtu mweusi tii kama pua ya umbwa halafu anaoa mwanamke mweusi tii kama oil chafu, hapo lazima kuwe na chuki na watu wenye rangi tofauti..Rangi ya ngozi inakuwa determined na specific genes zinazosababisha seli kuzalisha pigments kwenye ngozi, nywele na macho.
Rangi nyeusi sio mbaya ila pia nchi nzima kuwa na rangi nyeusi kama lami is not heathy,
Diversity in terms of phenotype is healthy.
Nakumbuka humu mlianza kumbagua ichoboy kisa rangi yake.
Leo mmepelekewa moto, Asanteni sana wabongo kwa kushushia hizi takataka kipigo hevi.
Hii insha yote inahusianaje na swala la nyie kuongoza katika sekta ya kujichubua hapa EA..

Alafu mbona umekasirika, inakaa imekuuma sana mpka umekuja na isha.
 
This is why we will always undermine you. Your levels of ignorance are beyond compression! !

You call people that you have lived with for more that 1000 years not natives.

Kama nyie hao waarabu hamuwataki basi mturudishie mombasa yetu mliotudhulumu.
Somalis are natives, Arabs are not. They also don't own that much as you think.
 
Tupe izo takwimu umekua mtu wa kulialia bila facts yoyote...Jpm this Jpm that unadhani hii ni nchi ya mtu fulani kwamba asipokuepo mambo hayataenda?Kinachokusumbua wewe ni denial
SA 100 ni Adui wa uzalendo ,yaani wale maadui wa uzalendo top wa tz yeye yupo kundi hilo ,kuhusu ukweli wa ninacho sema kwani ujasoma nilicho andika au wewe haupo tz ,unadhani kwanini tax force imerudishwa kimya kimya ,na trafic force ya kukusanya mapato kwenye barabara inarudishwa kimya kimya ,pia kwa kutumia akili wewe unadhani ingekuwa mapata wanayo sema kuwa TRA inakusanya ni kweli kwanini walingangania TOZO kwa masikini ,kama TRA inakusanya zaidi kwanini baada ya mama kutangazia wananchi kuwa serikali yake imeshusha gharama ya kuunganisha umeme nchi nzima kuwa 26000 mijini na vijijini baada ya muda mfupi bungeni ulimsikia huyo mjambiani mpumbaacu alicho sema na kuondoa ilo punguzo ,kama TRA ni kweli inakusanya mapato zaidi kwanini elimu bure aliyo acha JPM imefitinika kwa misamiati ya elimu bila ada na si elimu bure tena, maana yake Elimu bure imefutwa ,kama TRA inakusanya zaidi hata bandarini kama walivyo jinasibu kwanini mama katumbua viongozi wa bandari majuzi ,
Hivyo kuniambia habari za evidence wakati logic ipo wazi ni sawa sawa na kuniambia evidence ya kuthibitisha kuwa wewe unanjaa au ni masikini wakati wewe unaishi kama wakenya kwa slum na ujala siku 10,
HIKI KINACHOFANYWA NA SA100 KWENYE UCHUMI WETU KIPO SAWA SAWA NA GDP YA KENYA ...WANAJISIFU KUWA NA GDP KUBWA WAKATI HAWAWEZI KUJENGA HATA 10KM YA SGR YAO KWA PESA ZA NDANI.....
JE MADAI YA TRA KUWA NA MAKUSANYO MAKUBWA ILIHALI MAMBO NDIYO HAYO NILIYO ORODHESHA HAPO JUU KUNA TOFAUTI GANI NA KELELE ZA WAKENYA KUWA NA GDP KUBWA TUNAZO PINGANA NAZO HUMU
 
This is why we will always undermine you. Your levels of ignorance are beyond compression! !

You call people that you have lived with for more that 1000 years not natives.

Kama nyie hao waarabu hamuwataki basi mturudishie mombasa yetu mliotudhulumu.
"Arabs are native invaders"
 
Ifike mahali ukubali kuwa JPM hayupo na hatukuwepo tena. (Kuna kitu kinaitwa kumove on)

Binafsi nilikuwa namkubali sana hasa kwenye hii miradi yako mikubwa kama JNHP, SGR (infrastructure kiujumla) pamoja na kujiamini kwake kutoogopa kitu chochote bila kusahau ile sheria mpya ya madini...asee hapa aliupiga mwingi sana yaani aliwatingisha mabwenyenye wa kizungu balaa.

Ifike mahali ukubali hayupo na hii ni awamu mpya, utajipa magonjwa bure kaka.

Huwezi, hawawezi kubadilisha ukweli.

Kingine nikuombe sana uwe unabishana kwa fact, kubishana kwa fact ndio jadi yetu Watanzania.
Swala siyo jpm kuwepo...kutokuwepo kwa jpm siyo ndiyo kuchafua nchi ,kwahiyo kutokuwepo kwa jpm ndiyo turuhusu ufisadi na mtu akipinga ufisadi tumwambie akubali kuwa jpm hayupo [emoji849][emoji849] what is this *** shit ,kwa kuwa jpm hayupo basi tukubali ngada ,kwa kuwa jpm hayupo basi tukubali wajawazito kuchanganywa darasani wa wanafunzi ambao awaja zaa ,kwa kuwa jpm hayupo basi tukubali kushikwa matako na wazungu ,kwa kuwa jpm hayupo tukubali chanjo feki za kovidi ,kwakuwa jpm hayuko kukubali madini yetu kusombwa bure bila ya nchi kunufaika , HIZI AKILI ZAKO SIJAWAI KUONA AKILI MBOVU KAMA HIZI JPM ATABAKI KUWA KIELELEZO CHA VIONGOZI MAKINI NA WAZALENDO SAWA SAWA NA NYERERE
 
Ifike mahali ukubali kuwa JPM hayupo na hatukuwepo tena. (Kuna kitu kinaitwa kumove on)

Binafsi nilikuwa namkubali sana hasa kwenye hii miradi yako mikubwa kama JNHP, SGR (infrastructure kiujumla) pamoja na kujiamini kwake kutoogopa kitu chochote bila kusahau ile sheria mpya ya madini...asee hapa aliupiga mwingi sana yaani aliwatingisha mabwenyenye wa kizungu balaa.

Ifike mahali ukubali hayupo na hii ni awamu mpya, utajipa magonjwa bure kaka.

Huwezi, hawawezi kubadilisha ukweli.

Kingine nikuombe sana uwe unabishana kwa fact, kubishana kwa fact ndio jadi yetu Watanzania.
KUHUSU KUTUMIA FACT UMEPOTEA TUMIA LOGIC UTAJUA YALIYO GIZANI
FACT nikama SERIA
na LOGIC nikama HAKI wapo watu wana hubiri UTAWALA WA SHERIA mimi huwa wawaita wapumbavu maana sheria siyo haki hata wahalifu wana sheria zao hata shetani anazo sheria zake bali ni wenye AKILI WALE WANAO HUBIRI UTAWALA WA HAKI
 
SASA WEE BWANA NI KA AMBAYE HUJUI UNASEMA NINI...HAPA EAST AND CENTRAL AFRICA KENYA NDIO IKO NA MANY KILOMETERS OF PAVED ROADS TENA KW AUMBALI SANA...NA UJUE HIVI..MLIPOKUWA MNAJENGA UBUNGO...AU KIJILIMA KWA MANENO YA BABA LEVO...MLIKUWA MNASEMA YA KUWA HIYO NDIO THE BEST EAST AFRIKA BILA KUJUA..

nnACHO JIONEA HAPA MIMI NI WATANZANIA HAMJATEMBEA NA WALA YOU GUYS ARE NOT EXPOSED....MIMI KAMA MKENYA KABLA SIJA FUNGUA MDOMO WANGU KUONGEA KUHUSU TZ HUWA NAFANYA REASEARCH KWANZA...NITAANGALI YOUTUBE DAR ESALAAM MITAANI..BARABARA ZENU..MAJENGO YENO NA KILA KITU..SO NINAPO TOA MAONI YANGU KUHUSU TZ HUWA SITAPITAPI OVYO TU ETI JUU YA WIVU ETC...LAKINI NYIE HAPO MNAONGEA TU SABABU YA UBISHI KWA MAANA MOST OF THE THINGS YOU SAY ARE VERY WRONG..
WACHA NIWAPE USHAURI LEO...WATANZANIA ENENDENI MKA GOOGLE..YOU TUBE KWA UNDANI KUHUSU KENYA NA MAENDELEO YETU MAJENGO NA BARABARA ZA KENYA ...BAADA YA HAPO MTAELEWA MBONA TUNAITWA EAST AND CENTRAL AFRICA ECONOMIC GIANTS.
Kumbe namuelewesha mtu anaefanya research kutumia data za blogers! Hujui lolote wewe na inaonekana hujawahitoka kenya wewe na hata hjui quality ya barabara inapimwa kwa vigezo gani. Pia kuhusu Kilometer nyingi za paved roads huna data kaa kimya
 
Hivi wewe nyang'au unamjua huyo jamaa? Captain Arif. Yuko air Tanzania zaidi ya miaka 30 sasa.

He is probably more African than you piece of shit!
Yuko radhi kuita wenzetu wenye asili ya kiarabu au asia Waarabu au Wahindi ila Balala Mkenya!
 
Back
Top Bottom