Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ebu tuletee place dar inakaribia hii hapa

Nilisema ile estate ni ya kawaida nilikua namaanisha,hapa sasa umeleta kitu cha maana...Hii Runda estate imeiva...tofauti yake na place like Mbezi beach ni kwamba,Mbezi barabara nyingi za mtaa haziko paved (whether tarmac or paving blocks/concrete) Ila pako well planned na kuna nyumba za kuvukia na za kifahari kwa asilimia kubwa....pia sio kwamba barabara nzuri hakuna ila nikifanya comparison naona runda iko vizur zaidi
 
We usiwahusishe wazee wetu Mwinyi na Mkapa kwenye upumbavu wa mkwere. Mwinyi alijitahidi kiasi chake na mkapa pia. Fraud mkwere ndio ugonjwa aliokua akiutibu Magu ile tunapata nafuu akapewa sumu. Hivi unajua Salma alipata 1-7 form six? na hakua akipiga msuli bali kuzurura huku na kule
🚮🚮🚮
 
ThaNk you for sharing the first video, the second however is irrelevant
If you watched the Nairobi street video;
By your own standards, which street do you consider modern? And why
Kwahiyo unataka kusema nini ?kwani huoni nairobi ilivyo giza nyeusi wakati dar inawaka hewa safi hakuna harufu chafu kama mitaa ya nairobi
Pia hilo eneo ni sehemu ndogo ya mitaa ya dar es salaam
 
Nilisema ile estate ni ya kawaida nilikua namaanisha,hapa sasa umeleta kitu cha maana...Hii Runda estate imeiva...tofauti yake na place like Mbezi beach ni kwamba,Mbezi barabara nyingi za mtaa haziko paved (whether tarmac or paving blocks/concrete) Ila pako well planned na kuna nyumba za kuvukia na za kifahari kwa asilimia kubwa....pia sio kwamba barabara nzuri hakuna ila nikifanya comparison naona runda iko vizur zaidi
Ok ,ingine hii hapa

Sisi sio weusi Kama ninyi, we have light skins, hatufanani
Hivi huyu pilot ni Mnyamwezi ama Msukuma? 🤣🤣

Bradhee, najua huko mnaabudu light skin ila kuna tofauti ya Mwarabu na light skin na sio kila Mwarabu ni light skin.
 
Na sisi cyclists tumekumbukwa kwenye BRT

Screenshot_20220208-201927.png
 
Kikwete ni Muafrika mweusi kama wewe, Pilot ni Mwarabu
kwahiyo ukiniona na mimi utaniita mwarabu! Ficha aibu kama kwenu ni weusi kama mafuta ya bunduki usidhani kila mtu yuko hivyo Tanzania kuna sehemu ukifika utadhani uko Uarabuni nenda Tanga, Singida, Kilimanjaro, Arusha na Manyara utakutana na watu wa complexion hiyo!
 
Kwn watu wa aina hyo au miji ya watu wa aina hyo hakuna kenya sio
 
Hiyo siku mkifika hapa nitafute

Hehu delete hio upuzi, ningekupongeza kidogo at least una reply lakini comments za upuzi uwache, kufika hio level ni ku regress
Alafu, for guys claiming to have a bigger real estate than nairobi i expect better.
Kuna wale waliuwa wanasema hata Mwanza is ahead of naorobiin terms of real estate, wako wap?i?
 
Aaawapi asili wenu weusi kama sugu ya matako ya nyani! ukiona mtu mweupe Kunyaland ni chotara! Ndo maana unaongea ubaguzi! Ushamba unakusumbua!
Km hujui kitu mzee tulia, njoo upewe toto umalizie pensheni nalo..
 
leteni streets za dar

So hakuna picha ina capture dar nzima ama ?

Sio wewe umetusumbua huku with the "Kenya inakopa tunajenga na pesa zetu" narrative??! Nini kabadilika

sasa unaninilia au??😃😃😃
 
Back
Top Bottom