Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wacha kukimbia ukweli, Je Ethiopians sio waafrika?, Waafrika ni weusi lakini sio Kama ninyi hapo karibu na IKWETA, weusi wenu umepitiliza hadi sisi waafrika wengine tunawaogopa
Wewe ni kama unatumia kichwa kama kifuniko ya shingo.

iTANZANIANS

1644349775845.png


KENYANS
1644349935669.png


SOUTH AFRICANS
1644350021207.png


CAMEROONIANS
ASIANS
1644350199203.png


EUROPEANS
1644350244775.png


1644350345077.png


1644350089314.png
 
Hujui unachokisema mzee
Kuna jamaa yangu mmoja nimemuonyesha hii comment yani amecheka sana walai..

Ywauliza kwn watz hawa exposure kiasi hicho
they are insulting their own tanzanians who have dark complexion .........how low can it get
 
when you try to stoop to their level you will die, just ignore at this point. manze hata niki struggle kuwa dunder haiwezi fika hapo
Hehe sure......debating with these shallow minded tanganyikans is taxing. Am off to bed
 
mko na upuzi sana. shame on you , sote Waafrika tunafanana , i am proud of my black skin,and if you are not, shame on you!! nenda ukajigeuze kule, tuache na melanin yetu..

BLACK AND PROUD TANZANIANS!!

View attachment 2113159
View attachment 2113162View attachment 2113165
View attachment 2113169
View attachment 2113170
Huu ubaguzi umu kauleta mwenzenu baada ya ku question asili ya rubani wetu kwaiyo usihamishe goli kwani hamjui pwani ya afrika mashariki waarabu wameekuwepo kwa miaka 300 na zaidi au wahindi kwa takribani miaka 150 ni kama sisi tuanze ku question asili ya mke wa uhuru
 
......These tanzanians never stepped inside a classroom.....walikuwa wakisomea dirishani labda...
Yani reasoning yao bogus sana, tena kw asilimia kubwa wanafanana mawazo aisee
Wana mawazo duni sana km taifa
 
kwahiyo ukiniona na mimi utaniita mwarabu! Ficha aibu kama kwenu ni weusi kama mafuta ya bunduki usidhani kila mtu yuko hivyo Tanzania kuna sehemu ukifika utadhani uko Uarabuni nenda Tanga, Singida, Kilimanjaro, Arusha na Manyara utakutana na watu wa complexion hiyo!
🤣🤣Being light skinned does not impress me bro, nimesema huyo pilot ni Mwarabu, nimesema ukweli ama uongo? Hivi umekua mwanamke unaringa na rangi ya ngozi? 😂😂
 
ngoja nimpe somo huyu

huyu ruban usishangae ukaambiwa ni mnyamwezi! unakujua igunga mkoani Tabora? unamjua rostam aziz? ni alikuwa mbunge wa igunga

ukienda igunga,tabora, shinyanga, singida au iringa kuna light skin au watu wenye ngozi nyeupe wengi sana huko! sasa ukiambiwa huyo rubani ni mnyamwezi wa igunga au shinyanga usishangae

mfano mwingine eti yule jamaa wa simba hanspope alikuwa ni mtu wa wap
Mwone mwehu anasema Rostam Aziz ni Mwafrika Mweusi. 🤣🤣🤣

1.jpg
 
Hehu delete hio upuzi, ningekupongeza kidogo at least una reply lakini comments za upuzi uwache, kufika hio level ni ku regress
Alafu, for guys claiming to have a bigger real estate than nairobi i expect better.
Kuna wale waliuwa wanasema hata Mwanza is ahead of naorobiin terms of real estate, wako wap?i?

Hii level mtafika lini?

 
Bahati mbaya Sana hatutajani kwa misingi ya makabila yetu Kama ninyi huko kwenu, hebu muangalie rais wa Zanzibar na huyo rubani Kama Kuna tofauti yoyote, hebu muangalie waziri mkuu Kasim Majaliwa na huyo rubani,. Tanzania wengi wetu ni "light skin".

Ninyi mkiona light skinned mnahisi sio waafrika kwasababu kwenu wengi ni "very dark skinned" punguzeni ujinga, hatufanani.
Mbona Watanzania munakuwanga mmeinamishia watu light skinned hivi lakini? 🤣🤣

Halafu hivi unataka kufananisha huyu Majaliwa na huyo rubani?

1.jpg

Bradhee wacha kunichekesha. Halafu huku Kenya kuna watu light skin kibao sana ni vile hatuna huo ubaguzi wa rangi kama nyinyi. Yani sisi uwe mweusi ama mweupe hatutambui. Ila huyo rubani ni Mwarabu, hata ukipiga kelele dunia nzima hutobadilidha hilo.
 
Back
Top Bottom