muhogo_kiks
JF-Expert Member
- Dec 4, 2018
- 1,759
- 4,852
Hii direct flight to the US should be a big priority. Yani wangeweza anza huko kabla ya hata ulaya. Demand ni kubwa sasa. Tena waende DULLS au hata ATLANTA.
nairobae ni wiki ya ngapi hii familia ipo Tanzania? kshasahau kitu kinaitwa Kunyalnd! na hapo last leg Zanzibar Island bado! hebuu soma nambaa...!
MY TAKE
ATCL iangalie how inaweza ku-capitalize na hili imagine the day Air Tanzania inakuwa na direct flights to the US! Yajayo yanafurahisha...

naona mama anazidi kuji