Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hivi unafahamu hii ''Task force'' ya sasa hivi inatengeneza mazingira ya rushwa?
Lini rushwa iliwahi Isha? Si afadhari rushwa kuliko kupora? Ukitakiwa kulipa faini mil.3,,ukalipa mil.1 afu ukawapa laki 5 TRA kuna shida gani hapo?

Huoni bila hivyo pesa yote ingepotea na hiyo rushwa ndio inawamotovate wana taskforce kupiga Kazi..

Mwendazake alianzisha mahakama ya mafisadi Kuna fisadi Hata 1 uliwahi kumuaona kizimbani? 😃😃😃😃..

Aliioshia kusingizia kesi wale maadui zake na kunegotiate walipe pesa,kwamba alihalalisha kununua haki kwa wenye pesa 😝😝
 
Kenya bana, kweli njaa ni kiboko 😁😁😁

Screenshot_20220203-124438.png

Screenshot_20220203-124549.png
 
saahii ni mwendo wa masharti tu! Saa hii Mchina akiambia Kenya bong'oa hamna jinsi!
Alianza kuweka mtego wa kuchukua Mombasa, then kuokota pesa za raia kwenye express way. Kinachofuata ni kununua mashamba kwa uhuru ili awauzie chakula
 
Infact Mombasa has around 8 bridges

4. Nyali bridge
View attachment 2105664
5. KPA Kipevu bridge
View attachment 2105665
6. CFS Kibarani bridge
View attachment 2105669
7. Liwatoni bridge
View attachment 2105671
8. Likoni bridge(U/C.
View attachment 2105672
😂😂😂 Vidaraja hivi vya kipuuzi vipo kila kona ya Tz hapo DSM yenyewe vipo kibao, hatuviweki humu kwasababu sio zile vitu za world standard. heb jionee 👇..kwa hapa EA kwenye suala la madaraja hatuna mpinzani
92B62AF3-5CA5-4151-BA24-E06E9BE310F1.jpeg
IMG_4340.jpg
. .
3002875_563734BD-ACD3-455F-9EAC-9BCFAB15220E.jpeg
maxresdefault(18).jpg
hanging-bridge-connects-dar-es-260nw-1905925756.jpg
 
Kwahyo sahv hakuna ujenzi kisa jpm hayupo?

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
ujenzi umeporomoka kwa 50% na ubunifu hakuna ,kama siyo jpm bomba la mafuta lingepita kenya magufuli alikuwa na vision kubwa sana, kitu ambacho kwa sasa hakipo kwa huyu mpumbavu tuliyenaye anawaza kusimikwa uchifu ,anashindwa hata kutembelea miradi ya msingi kama tanesco na miradi yake yeye ni matamasha tu
 
Wewe acha ujinga, awamu ya 5 ilikuwa inatumia task force kubambikia watu Kodi za nyuma na kupora pesa..

Saizi Wana enforce kulipa Kodi kwa hiari kama hujalipa nyundo inakuhusu,kulipa Kodi ni sheria na lazima utimize wajibu..

Tangazo la hiyo kampeni liko toka mwezi July mwaka Jana implementation ndio imeanza saizi..

Tunataka pesa nyingi saizi hakuna kisingizio,the economy is doing well.
Umekuwa ukiongea ujinga kwa mda mrefu mpka sasa umeanza kuamini, niuchumi gani ulio imara we kizuuu? Embu nitajie hata kitu kimoja kilicho na inflation below 4%...kweli ujinga mzigo
 
ujenzi umeporomoka kwa 50% na ubunifu hakuna ,kama siyo jpm bomba la mafuta lingepita kenya magufuli alikuwa na vision kubwa sana, kitu ambacho kwa sasa hakipo kwa huyu mpumbavu tuliyenaye anawaza kusimikwa uchifu ,anashindwa hata kutembelea miradi ya msingi kama tanesco na miradi yake yeye ni matamasha tu
Hizi ni kelele sasa

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
toptorn anadanganya. Sasa hivi uwezo wa Kenya kulipa mkopo wa SGR phase 2B Naivasha-Kisumu upo chini mno. Sasa hivi tumezongwa na madeni. Sasa mbona Mchina hajakimbia kutukopesha SGR phase 2B ikiwa anachosema Toptorn ni ukweli?
Ujaelewa unacho ulizwa umeambiwa mchina akijua unao uwezo wa kumlipa awezi kukukopesha mpaka agunduwe hauta weza kumlipa kwa sababu mchina anatamani ukimkopa ushindwe kumlipa ili achukue hatua yenye kuinufaisha china mara5 zaidi ya manufaa ambayo angeyapata kama ungeweza kumlipa ,
 
Wewe acha ujinga, awamu ya 5 ilikuwa inatumia task force kubambikia watu Kodi za nyuma na kupora pesa..

Saizi Wana enforce kulipa Kodi kwa hiari kama hujalipa nyundo inakuhusu,kulipa Kodi ni sheria na lazima utimize wajibu..

Tangazo la hiyo kampeni liko toka mwezi July mwaka Jana implementation ndio imeanza saizi..

Tunataka pesa nyingi saizi hakuna kisingizio,the economy is doing well.
Mbona ukutuambia siku za nyuma kuwa na nyinyi mna task force naona mama anazidi kuji
 
Back
Top Bottom