Tony254
JF-Expert Member
- May 11, 2017
- 16,016
- 16,433
''Task force'' ikiwa kazini kutengeneza mazingira ya ''mirahaba''
Kulipa kwa hiari haimaanishi usilipe Kodi,ni kweli unatakiwa kulipa kwa hiari usipolipwa ushushiwa kitu kizito kichwani..Si walisema watu walipe kwa hiari bila kubuguziwa
Task force ya zamani ilikuwa inabambikia watu Kodi za miaka ya nyuma,task force ya Sasa inakulima faini kwa mda huo na haihusishi majambazi kama kina Sabaya,makonda na wengine..Ndo nashangaa na mimi wakati alitamka mwenyewe kuwa ''Task force'' sio nzuri na haifai.
Africa Safari bado ipoHawa ndio mchina anawataka hawa😀. Keshaingia Kingi
View attachment 2106195
![]()
Kenya seeks IMF aid to repay China loans
Kenya is considering using funds from the IMF to repay Chinese loans after it dropped an earlier request to defer debt payments.www.businessdailyafrica.com
Wapigwe faini za kutosha Ili wajue sheria haijaenda likizo.



Kujaribu Kulainisha Jiwe liwe KitumbuaTask force ya zamani ilikuwa inabambikia watu Kodi za miaka ya nyuma,task force ya Sasa inakulima faini kwa mda huo na haihusishi majambazi kama kina Sabaya,makonda na wengine..
Lipa Kodi kwa hiari kabla ya kukumbana na rungu hakuna visingizio vya sijui alisema and suck nonsense..Tii sheria bila shuruti.
Task force ya zamani ilikuwa inabambikia watu Kodi za miaka ya nyuma,task force ya Sasa inakulima faini kwa mda huo na haihusishi majambazi kama kina Sabaya,makonda na wengine..
Lipa Kodi kwa hiari kabla ya kukumbana na rungu hakuna visingizio vya sijui alisema and suck nonsense..Tii sheria bila shuruti.
Yaani ngurue keshanasa kwenye mtego n then utege mtego mwingine wa nini tenatoptorn anadanganya. Sasa hivi uwezo wa Kenya kulipa mkopo wa SGR phase 2B Naivasha-Kisumu upo chini mno. Sasa hivi tumezongwa na madeni. Sasa mbona Mchina hajakimbia kutukopesha SGR phase 2B ikiwa anachosema Toptorn ni ukweli?
SijuiAfrica Safari bado ipo
Wewe acha ujinga, awamu ya 5 ilikuwa inatumia task force kubambikia watu Kodi za nyuma na kupora pesa..Si nyie ndo mlikuwa mnalalamika awamu ya 5 njia kama hiyo ikitumika kukusanya kodi?
Mbona hamueleweki!
Hahaha noma sana.Yaani ngurue keshanasa kwenye mtego n then utege mtego mwingine wa nini tena
Ilivyorudi imekufanya nini kama unalipa? Imekuletea shida yeyote? Kama hulipi utakula nyundo.Mimi ni mlipa kodi na nalipa kodi vizuri tu.
Nachoshangaa ni ''Task force'' kurudi.
Ilivyorudi imekufanya nini kama unalipa? Imekuletea shida yeyote? Kama hulipi utakula nyundo.Mimi ni mlipa kodi na nalipa kodi vizuri tu.
Nachoshangaa ni ''Task force'' kurudi.
Hakuna cha kulainisha,hiyo pia inalenga kuwajengea watu utamaduni wa kudai lisiti hasa wanunuzi..Kujaribu Kulainisha Jiwe liwe Kitumbua
Kazi kwelikweli
Wewe acha ujinga, awamu ya 5 ilikuwa inatumia task force kubambikia watu Kodi za nyuma na kupora pesa..
Saizi Wana enforce kulipa Kodi kwa hiari kama hujalipa nyundo inakuhusu,kulipa Kodi ni sheria na lazima utimize wajibu..
Tangazo la hiyo kampeni liko toka mwezi July mwaka Jana implementation ndio imeanza saizi..
Tunataka pesa nyingi saizi hakuna kisingizio,the economy is doing well.
saahii ni mwendo wa masharti tu! Saa hii Mchina akiambia Kenya bong'oa hamna jinsi!Yaani ngurue keshanasa kwenye mtego n then utege mtego mwingine wa nini tena
Ilivyorudi imekufanya nini kama unalipa? Imekuletea shida yeyote? Kama hulipi utakula nyundo.


