don't shoot the messenger #nofilterlorry limekunjwa kunjwa body ovyo linabeba binaasamu aloo😂😂😂😂😂
View attachment 2106538
don't shoot the messenger #nofilterlorry limekunjwa kunjwa body ovyo linabeba binaasamu aloo😂😂😂😂😂
View attachment 2106538
hebu tuambie hapa ni wapi kwanza ili tuone mwisho wa elimu yako kwanza 😂😂😂don't shoot the messenger #nofilter
View attachment 2106554
Tanzania ooyee!!!😂😂😂😂hebu tuambie hapa ni wapi kwanza ili tuone mwisho wa elimu yako kwanza 😂😂😂
Unataka kujua idadi ya Madaraja yanayotengenezwa Tanzania kwasasa.? 😂😂😂 Don't dare, utakimbia humu.. ikija kwenye suala la madaraja wachukueni Uganda fungueni battle mshindanehatujengi daraja moja, tunajenga kadhaa
Huyo bwege tangu waanze project ya daraja pale Mombasa basi kelele ni nyingii!Unataka kujua idadi ya Madaraja yanayotengenezwa Tanzania kwasasa.? 😂😂😂 Don't dare, utakimbia humu.. ikija kwenye suala la madaraja wachukueni Uganda fungueni battle mshindane
Atakwambia ndio
Africa nzima sasa inaijadili Tz, Magufuli huyu Mungu amuweke mahala pema peponi, amsamehe dhambi zake zote za kibinadamu.
[emoji382][emoji382]uhehehheheh mm bahat nzuri nishakujua wewe nani ile id yako nyingine mbona hutumii sasa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116][emoji116]
Heheheheeee tumeanza kuwachapa kwenye picha sasa [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Awesome DAR .. sio mji wa china ni DSM nyie wakunyaView attachment 2106571
Kitu ambacho hujui ni kwamba Magufuli wkt wote huo alikuwa Boss wa Mfugale.Mkuu miradi iliyojadiliwa siku za nyuma ni Kigamboni bridge ikaja BRT mbona wakati huo JPM hakua Rais.Engine ya ujenzi TZ alikua mfugale ila kama hakuna waliojifunza vizuri toka kwa mfugale tutapata shida hasa kwenye bridge.Tz ilikuwepo na itaendelea kuwepo
Unasema Mfugale sababu ni kabila lako? Punguza ukabila.Mkuu miradi iliyojadiliwa siku za nyuma ni Kigamboni bridge ikaja BRT mbona wakati huo JPM hakua Rais.Engine ya ujenzi TZ alikua mfugale ila kama hakuna waliojifunza vizuri toka kwa mfugale tutapata shida hasa kwenye bridge.Tz ilikuwepo na itaendelea kuwepo
tayari kapanic sasa 🤣🤣🤣🤣Tanzania ooyee!!!😂😂😂😂
don't shoot the messenger #nofilterView attachment 2106559
View attachment 2106560
View attachment 2106562
naona project ya mchina ile itakayowaliza wakenya wengi pale kwenye toll za mchina 😂😂😂😂😂😂[emoji382][emoji382]View attachment 2106598