Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Another serious district is coming up at Two Rivers

1643744534458.png
 
hakuna siku kenya na tanganyika watawahi kuwa marafiki.... hio ilianza kitambo enza za nyerere na j.kenyatta!.
mi ntaomba rais wenye atafunga border ya kenya/tanzania. infact at sometime tz wanted to withdraw from EAC... i just wish ingefanyika ivo
Wakati Mwl akikomboa Mataifa mengine, Kenyatta snr alikuwa akila mtura na kulamba tanyee za wa Magharibi! Ona rewards za good deeds sasa na msipate wivu..!
 
Wakati Mwl akikomboa Mataifa mengine, Kenyatta snr alikuwa akila mtura na kulamba tanyee za wa Magharibi! Ona rewards sasa na msipate wivu..!
Goli lingine hili [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
you knw these tanzanians wanajiona nikama wao wako very special, na ukichunguza ninini hasa kinawafanya wamee kiburi, unakuta hakuna hata. kama ni vyakula vyao,. tuna nunua.. hatupokei msaada wowote toka kwao!. we can as well buy from uganda virtually everything tz produce. hii majivuno yao yote nadhani magaful kawa pumbaza. mara wanapiga auction ngombe zetu zote na kuwauwa vifaranga elfu6. uhuru kenyatta has been very lenient with these pple, inge pata moi sasa ama jomo kenyatta. infact we don't need them, it's them who needs us. cheki wasanii wao, break yao ya kwanza baada ya release a single ni kenya! hizi hela zetu dollar kwao ndo maana wamerundika kamkunji constituency na ombaomba kwenye streets zetu in their Numbers..... to hell with these crub [emoji2961][emoji2961] View attachment 2104460
Ww ndio unaonyesha jinsi gani nyie niwajinga, tunawalisha fukara nyie , hakuna utali wamana mtafanya bila Tz, ndio mana mlitaka kutumia pazia la EAC kuingiz watali Tz(mlima kilimaajaro na serenget) tukawapiga chini, mnakusanyan kuja kutafuta kazi tz,leo unaongea km umetoka choo cha kibera eti huoni impact yetu kwenu[emoji23][emoji23][emoji23]
Kamulize uhunye kitu gani kilimfanya aombe msamah mara mbil kwa JPM? Kama mnajiweza...
Kwanin kila kitu mnangaliaa Tz inafanyaje km kweli mko mbele?
Kipiidi cha ule mgomo wenu baridi , sikuona serious impact kwetu,ila nyie flyt za kuja kwetu huwa ziliwapatia pesa nyingi ndio mana mlikuja kwa magoti sasa tunagawana share mbuzi nyie
Tulikuwa na rais aliye lala ndio mana kunyata alitaka kuimilik EA yote thanks kwa kutokea JPM aka change table akanzia na kuwapoka bomba la mafuta, mlikuw mnafany Tz shamba lenu la kuchungia ikabid aonyesh msisitizo kamata ng'ombe piga mnada ..
Swali ni jee mlikuw na jeuri hata ya kurudishia ? Nyie ni wapiga kelele tu ila kwenye action chenga kabisa
Apo mlipo megombana na majirani wote watu gani nyie sio somalia, Uganda, Tz
 
naombeni kueleweshwa.. hapo tayar si kuna bridge?[emoji3]
kilichotakiwa kufanywa ni kudeepen huo mto hapo kwenye daraja kuelekea baharin na kuprotect kingo zake ili maji yapite katikat vizur

anyway wakijenga hilo jingine hilo la saiz linabomolewa au litabaki litumike kipindi hamna mvua?

au mwenye picha ya hilo daraja jipya apost pengine nitaelewa
dredging si solution, kunaweza kutokea reverse flow na salt water kuja Jangwani!
 
Back
Top Bottom