Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

staki render ama proposals mzee
. leta vitu tangible

It all begin with plans,
Hata Hii Electrified SGR yetu ambayo ni bora zaidi ukanda huu wakunya doubting thomases like you, walisema tukijenga centimeter moja wanafunga Acounts zao jf , they are here and I can tag them
Leo we are talking of 1000km U/C
They doubted even this bridge, they doubted the JNHEP 2100MW Dam and the dam is at 70% and counting, and after completion TZ will be with more installed capacity in the region ,
They doubt everything.
Be ready madam, so u are not disappointed later .
 
Lete hapa ya maintenance and repair tena nakurahisishia usilete kituko cha MGR bali lete ya SGR kabisa tucheke kidogo humu ndani.
infact nilikua hapo hapo new year
20220101_175919.jpg
 
BRT phase 2 ilitakiwa kuwa tayari mwaka jana hakuna kiongozi anaye sukuma huu mradi ,sasa hivi huu mwaka tulitakiwa tuwe tuna anza phase 3 na 4 kwampigo ,wakenya watafungua brt yao sisi bado tunatafuta uchifu mafii
Bahati mbaya haupo eneo la Mradi ndio hujui hata unachoongea
 
Wazee wa shoddy works
kwanza leo nimekupata atimaye gameover. nimekutegea sana urejee kwenye hichi kikao.

kuna siku uliikejeli sana Kasarani stadium, na kuipa sifa zote Mkapa Stadium.. i initaily though Mkapa is more sophisticated and with a larger capacity of 80k+ .. only to realize later that kasarani is even better and still ranked higher than your stadium by IOC and Fifa! and with the same capacity of 60k!

kasarani: 60,000 capacity
kasarani-1024x675.jpg
wdHWfpirHTkasaranidesr.jpg
kasarani_stadium04.jpg






Mkapa stadium: 60,000 capacity
tanzania_top-768x447.jpg
59729483c2e519b71637be4fb5c31b6a-768x512.jpg
benjamin_mkapa_stadium02.jpg


otherwise in terms of design, i find kasarani more sexy and cuter than your so called ultra modern stadium.

hoja yako hasa ya kuikejeli kasarani sana lilikua lipi?.. sikupata kukuelewa.. hebu ni fafanulie leo basi..

kasarani even has other annexes, mkapa doesn't have!
 


Hii Bay link Road tayari inaanza ku-take shape. What’s left is the widening of Mwai Kibaki Rd ( a section of it will also have BRT lanes), and the construction of an undersea tunnel to connect Barack Obama Dr with Kigamboni.
View attachment 2104137

Hapa imebaki tunnel ipigwe moja toka Barack Obama road mpaka Kigamboni!
 
Kwanza apo kunya kuna hata cable bridge?Wachana na chuki za kijinga, kwaiyo ilo bridge ww unalionaje?
Kwhyo km ni cable stayed ndio liwe la kawaida hvo aisee..
Yani hzo nguzo zilizosimama ndio zinawazuzua wakati mwenekano wake ni mere 4lane bridge tu wala halina vigezo la kuitwa "super bridge"
 
Back
Top Bottom