dopchinski
JF-Expert Member
- Mar 11, 2021
- 3,387
- 3,683
mwehu hiiKasarani wana viti zero vya kukaaa!
mwehu hiiKasarani wana viti zero vya kukaaa!
Hayo ya cable tunayo matatu ndani ya dar na lile la sgrKwaiyo inakuma sana kuona sasa sio tu tunayo mawil ndani ya Dar bali kuna refu zaidi apo kigongo busisi linakuja...pole dogo kaa kwene line yako hizi level sio za kunya land Your country failed to afford even a single one how come you become an expert on cable stayed bridge? with zero experience if your not a fool?
then why is kasarani always ranked highly than mkapa stadium, by ioc and fifa.!??.. because kenya will always remain a superpower in this eastern block!Karasani kuna concrete bars.
Halahala usije ukagongwa mwaka mbichiii na ichoboy01 mbichiiii! BTW jamaa zetu leo wamepata mapigo mawili wasijue lipi la kulia nalo kwanza!
hakuna siku kenya na tanganyika watawahi kuwa marafiki.... hio ilianza kitambo enza za nyerere na j.kenyatta!.Kwani uongo?
hehe walimiminika sawasawaKama brige tu ndio watanzania wanashangilia hivi, sasa ingekuwa expressway inajengwa kwao si wangeuana sasa
View attachment 2104212

Hii Picha na Eneo hili mlipumzishe aisee
My infonajua wametangaza hisa ..sijajua kama watu washazilipa hizo helaHvi cost ya kujenga refinery ni kiasi gani maana hawa waganda watakua wanefeli sana bila iyo kitu
Nikupatie speakers upige nazo nduru?🤣🤣Hii Picha na Eneo hili mlipumzishe aisee
Hivi Huu udongo mnachinjia Ng'ombe hapo
hehe......they have posted about a bridge the whole day na wanataka kutupimia hewa........yaani kivukio tu ndio inawafanya wendawazimu.........Africa should do better
Wangetamani ikuwe hivyo




