komora096
JF-Expert Member
- Sep 26, 2018
- 20,548
- 5,647
Umekasirikaee!!Vipi mbona Madaraja ya reli tena.?Hayo yako kibao, hadi cable stay bridge pia zipo katikati ya jiji sio huko porini
Umekasirikaee!!Vipi mbona Madaraja ya reli tena.?Hayo yako kibao, hadi cable stay bridge pia zipo katikati ya jiji sio huko porini
Uwanja wa Kasarani haufiki capacity ya 50000 ukiwekwa viti! Na uwanja una ma-ramp ya kishamba kama ya JKIA! Yaani ni ukurutu kila kona! Juu kitu kina paa la mabati rollings likiwa limeshikiliwa na hundreds of steel poles!kwanza leo nimekupata atimaye gameover. nimekutegea sana urejee kwenye hichi kikao.
kuna siku uliikejeli sana Kasarani stadium, na kuipa sana sifa Mkapa Stadium.. i initaily though Mkapa is more sophisticated and with a larger capacity of 80k+ pple.. only to realize later that kasarani is still ranked higher than your stadium by IOC and Fifa! and with the same capacity of 60k!
kasarani: 60,000 capacity View attachment 2104131View attachment 2104132
Mkapa stadium: 60,000 capacityView attachment 2104133View attachment 2104135
hoja yako hasa ya kuikejeli kasarani sana lilikua lipi?.. sikupata kukuelewa.. hebu ni fafanulie leo basi..
kwanza leo nimekupata atimaye gameover. nimekutegea sana urejee kwenye hichi kikao.
kuna siku uliikejeli sana Kasarani stadium, na kuipa sana sifa Mkapa Stadium.. i initaily though Mkapa is more sophisticated and with a larger capacity of 80k+ pple.. only to realize later that kasarani is still ranked higher than your stadium by IOC and Fifa! and with the same capacity of 60k!
kasarani: 60,000 capacity View attachment 2104131View attachment 2104132View attachment 2104142
Mkapa stadium: 60,000 capacityView attachment 2104133View attachment 2104135View attachment 2104143
otherwise in terms of design, I find kasarani more cuter than your so called ultra modern stadium.
hoja yako hasa ya kuikejeli kasarani sana lilikua lipi?.. sikupata kukuelewa.. hebu ni fafanulie leo basi..
kasarani even have more annexes, mkapa doesn't have!
Unajua maana ya capacity mzee, au wenyewe wajinga waliposema kasarani capacity ni 60k..Ben Mkapa Stadium has 60k sitting capacity,
Yaani kuna viti 60k vya kukalia,
Hilo gofu la kasalani Lina viti vingapi vya kukalia? How do u confirm sitting capacity kwenye uwanja hauna viti?
Let’s not waste each other’s time
Kasarani wana viti zero vya kukaaa!Ben Mkapa Stadium has 60k sitting capacity,
Yaani kuna viti 60k vya kukalia,
Hilo gofu la kasalani Lina viti vingapi vya kukalia? How do u confirm sitting capacity kwenye uwanja hauna viti?
Let’s not waste each other’s time
Unajua maana ya capacity mzee, au wenyewe wajinga waliposema kasarani capacity ni 60k..
Kw akili zako kasarani hakuna seats sio
Chuki ni mbaya sanaKarasani kuna concrete bars.
Chuki ni mbaya sana
Pole sana mzeeKwani uongo?
ama unamaanisha viti gani.Ben Mkapa Stadium has 60k sitting capacity,
Yaani kuna viti 60k vya kukalia,
Hilo gofu la kasalani Lina viti vingapi vya kukalia? How do u confirm sitting capacity kwenye uwanja hauna viti?
Let’s not waste each other’s time
Inafanya scanning kuangalia patterns za radio frequency spectrum activities pamoja na occupancy. Ukiwa unaiba mawimbi lazima ukamatwe tu hapo. Hio kitu inaweza kufanya direction range finding na kujua sehemu yanakotokea mawimbi ya mawasiliano yasiyoruhusiwa.
We mgagagigikoko acha ujinga mm naujua huo mradi vizuri na timetable yskeBahati mbaya haupo eneo la Mradi ndio hujui hata unachoongea
Your country failed to afford even a single one how come you become an expert on cable stayed bridge? with zero experience if your not a fool?Kwhyo km ni cable stayed ndio liwe la kawaida hvo aisee..
Yani hzo nguzo zilizosimama ndio zinawazuzua wakati mwenekano wake ni mere 4lane bridge tu wala halina vigezo la kuitwa "super bridge"
Mbon unajib kwa kutia uruma snaa?Pole sana mzee