Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

ama unamaanisha viti gani. View attachment 2104156 in engineering or architecture, its assumed that the ergonomics of one person at any given time is 600mm (2ft) wide. hence a wardrobe for instance has a depth of 2ft so as to fit any size of cloth for that one person. even a 4×6ft bed is to allow two people to sleep without collisions, thts why you find this size in most lodgings. also corridor requirements should be atleast 4ft wide, so as to allow two people to bypass each other without brushing shoulders.
so thts how kasarani or mkapa stadium capacity was generated. sawa !
Watu wanakaa kwa vigoda!!!
 
Kama brige tu ndio watanzania wanashangilia hivi, sasa ingekuwa expressway inajengwa kwao si wangeuana sasa🤣🤣

View attachment 2104212
Electric SGR ya TZ itakua Bora kupita hiyo express na SGR yote ya Kenya.TZ kwa wakati mmoja tunatekeleza BRT,Daraja la Kigongo Busisi,Nyerere Hydropower,Tanzanite Bridge,SGR na kuna Barabara ya Zege 100km full funded by GOT.Hiyo express ni kitu kidogo sana😀
 
Mnajifari na kadaraja dwarf in the name of super bridge
emoji1787.png
emoji1787.png

Pole sana, hapo mumepigwa, yani mumewekewa michuma pembeni basi mnakuta kwisha...
Wivu kidonda ukishiriki utakonda komora!! Tunatekeleza mradi mmoja baada ya mwingine tena kwa quality ya hali ya juu kbs!!!Africa nzima iko huru kwa sasa vita vyetu vimegeukia uchumi!Niamini hatutajikomboa sisi tu wenyewe tutakomboa mpk majirani zetu mkiwepo mpk nyinyi!!!Viva Tanzania!!! a luta continúa!
 
Back
Top Bottom