Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

So ugly.
Kwani nyie jamaa huwa hampendi vitu vizuri?
uzuri tu watanganyika tumewazoea.. ata kama kitu ni kizuri namna gani.!, mtzdi ata tafuta viji sababu flani flani ili mradi aiponde.
(huo uwivu wote unatokana na sababu kwamba, kenya inaibiku tz karibu kwenye kila sekta, jambo ambalo mtz hataki kuliskia🤮)
nb: nawasihi watanganyika wote, wakubali tu matokeo na kwamba kenya ndio kiongozi wa eastafrica. nikisema ivo najua inamchoma sana mtzdi. najua tz inataka sana sana kuwa ni ndio wao kichwa katika ukanda huu, but tht has never been the case.. ss tumeshikilia usukani tangia independence, 1963, somethng tht we are not about to relent anytime soon!. better be contented wht u are
 
We mkenya ni fala wa kupindukia.
DAILY NANUNUA SUKARI ROBO 650 NUSU 1300 KILO 2600.
UKIISHI MAENEO KARIBIA NAI VIWANDA VYA SUKARI KILO MPK 1800 YA SUKARI MATHALAN KILOMBERO.
mwache ajipooze na uzushi! Maumivu ya makali ya maisha huko Kunyaland hupungua unajua!
 
wacha kutuonyesha CBD ..tUKIANZA ZA K

WACHA KUTUONYESHA CBD.....WEE TUKIKUONYESHA ZA KWETU NAIROBI UTATOROKEA WAPI? TUONYESHE MITAANI....
Nani kakwambia hiyo CBD?
Kivukoni imekua CBD cku hz?
Then hapo kuna wilaya mbili tofauti
 
uzuri tu watanganyika tumewazoea.. ata kama kitu ni kizuri namna gani.!, mtzdi ata tafuta viji sababu flani flani ili mradi aiponde.
(huo uwivu wote unatokana na sababu kwamba, kenya inaibiku tz karibu kwenye kila sekta, jambo ambalo mtz hataki kuskia)

Tuseme ukweli,
Kenya’s SGR is not good, the track itself pamoja na Lovomotives are all Jurassic, hillbillic and outdated…
You are bringing back those sentimental relics into reality when the entire world is getting rid of them ,
In this modern world of science and technology why not bring something environmental friendly?
 
Wewe ondoa ujinga wako bhana.Umekua mtu wa ajabu.Hujui Hilo daraja aliyeleta na kubuniwa wakati wa Rais kikwete,kila kitu kilikua kimekaa sawa March 2015,Nikikumbushe tu utaratibu wa serikali linapotajwa neno "Rais"Hutajwa kiti kitukufu kinachokaliwa na mtu aliyeshika madaraka ya Rais.Kwa uninga wako unadhani dua zako zitaondoa sifa za kiti kitukufu cha Rais.My brother hata ungepopoma usiku kucha haibadilishi kitu heshimu kiti cha Rais Kwanza bila kujali aliyekalia unampenda au la
Acha izo wewe Kikwete alikua raisi lakini aliebuni ni Magu akiwa waziri. Pia la mfugale, kijazi na kigongo busisi pamoja na mengine sema la busisi lilikua far away from being accepted. Mnakua blind mpaka mnajitia mkwere anakili kisa hamumpendi Magu acheni chuki za Kijinga.
Hizi infrastructure ni vichwa vya Magu na Mfugale acheni uzwazwa.
Magu na Mfugale walichangia hadi structure ya mji wa Kigali na ndio chanzo cha Mkapa kumpa fursa Magu. Hawa jamaa wamekua na mchango mkubwa tangu enzi za mkapa
 
Mipango mingi kabla ya Magufuli ilikuwa inaishia kwenye makaratasi tu, na hata pale ilipotimizwa ilikuwa low quality, Kikwete alifaulu sehemu moja tu nayo ni BRT sehemu nyingi alifeli vby au hata alipofaulu ilikuwa ni below average but nampa respect japo alizingua sn na hatoshi kwenye daraja la Nyerere na Magufuli ni dhambi kumuweka hapo hata yeye mwenyewe anajua.
Oya BRT hata angekwepo nani ingejengwa tu. Tena mkwere alikataa miradi mingi kinyama alivyoshauriwa na Magu na ndio maana akamkingia kifua aonyeshe uwezo wake sema hakujua kama angeacha kusupport genge lao la wapigaji. Kabla ya kumshukuru Kikwete kumfanya Magu raisi nimshukuru mzee Mkapa alieona kipaji cha Magu
 
We nawe acha kutuchekesha.
Hivi hiyo miradi nani kaisimamia mpaka ikasimama!?
KATI YA MSEMAJI NA MTENDAJI NANI NI BORA?
KIKWETE ALIKUA ANA CHEO KM CHA MAGUFULI KWANN ASINGEITEKELEZA HIYO MIRADI HT KM KAIFIKIRIA YEYE?
HIYO INAONESHA WAZI KUWA NI MTU WA MANENO SIYO WA VITENDO.
Nakwambia hakuna rais alohamasisha utendaji kazi km Marehemu.
Uliza hata watumishi wa umma wanalijua hilo.
Magu katekeleza miradi yake, mkwere hajafikiria kitu. Alichowahi kufikiria kikwete ni sgr ya mtungi wa chang'aa kama kenya
 
February 1, 20221:19 PM GMT+1Last Updated an hour ago
Energy

TotalEnergies, CNOOC make final decision on $10 bln Uganda, Tanzania oil project​

By Elias Biryabarema

2 minute read
The logo of French oil and gas company TotalEnergies is seen at a petrol station in Ressons, France, August 6, 2021. REUTERS/Pascal Rossignol

The logo of French oil and gas company Total is seen in Rueil-Malmaison, near Paris, France, March 2, 2021. REUTERS/Benoit Tessier

The logo of French oil giant Total is seen at La Defense business and financial district in Courbevoie, near Paris, France. May 16, 2018. REUTERS/Charles Platiau

The logo of French oil and gas company Total is seen in Rueil-Malmaison, near Paris, France, March 2, 2021. REUTERS/Benoit Tessier


Summary
  • Agreement ends years of delays for oil development
  • Uganda govt says project will create 160,000 jobs
KAMPALA, Feb 1 (Reuters) - TotalEnergies (TTEF.PA) and its partner China National Offshore Oil Corporation have reached a deal with Uganda and Tanzania to invest more than $10 billion in developing crude oil production in East Africa, the French group said on Tuesday.
"In the name of the joint venture partners and... TotalEnergies, I declare the final investment decision for the Lake Albert development project," TotalEnergies Chief Executive Patrick Pouyanne told a ceremony to announce the plan broadcast on television.

The project will cover the development of oil fields, processing facilities and a pipeline network in Uganda, plus an export pipeline through Tanzania to carry landlocked Uganda's crude to a port on the Indian Ocean.

Uganda discovered crude oil reserves near its border with the Democratic Republic of Congo in 2006, but production has been repeatedly delayed by disagreements between the government and oil firms over tax and development strategy, and a lack of infrastructure.

TotalEnergies said on its Twitter account earlier on Tuesday that the announcement signified a commitment by the oil companies to invest upwards of $10 billion in the project.

"This milestone puts us on the path to first oil in 2025," Minister of Energy and Mineral Development Ruth Nankabirwa Ssentamu said in a speech ahead of the signing.

Close to 160,000 jobs are expected to be created during the project's development, Ssentamu said.

Government geologists estimate that the country's gross reserves stand at 6 billion barrels, while recoverable oil is seen at 1.4 billion barrels.

Reporting by Elias Biryabarema; Editing by George Obulutsa and Jan Harvey


 
Back
Top Bottom