Fabrications🤣🤣🤣
Ongeza angle kama alivyofanya huyo wa Songo songo.Don't you guys feel embarassed when those are your estates while this in Kenya is just a norm and we have those alover the cityView attachment 2100532
View attachment 2100530
We unajua AVA Mombasa kweli? The biggest vehicle manufacturer in Eastern and Central Africa region.hii ndio picha hua munakuja kutudanganya nayo hapa 🤣🤣🤣🤣🤣 yani mwenye scania hajuia assembly plant in kenya anaijua south africa ila wakenya 🙌🙌🙌🙌 yani bado muna uongo ule ule wa maiaka 20 mukidhani dunia haijui
LOL kwa mwaka mnaunganisha hivyo vidude 104 tu means kwa mwezi ni gari 8 tu, sasa huku zitafika lini? 🤣🤣🤣🤣🤣For every Volkswagen you will see in Tanzania there is an 80% probability that it was produced in Kenya
View attachment 2100768
hii ndio picha hua munakuja kutudanganya nayo hapa 🤣🤣🤣🤣🤣 yani mwenye scania hajuia assembly plant in kenya anaijua south africa ila wakenya 🙌🙌🙌🙌 yani bado muna uongo ule ule wa maiaka 20 mukidhani dunia haijui
nimechekaa sana leo nioneshe assembly plant ya scania nje ya south africa kwa africa hii nifunge acc sasa hvi 🤣🤣🤣🤣 munataka sifa za kipuuzi kwa kitu hamuna
na ukipata nje ya south africa unitag🤣🤣
![]()
Industry recent news | Wards Auto
Explore the latest news and expert commentary on Industry brought to you by the editors of Wards Autowww.wardsauto.com
Mtatoa povu ila bado Scania zenu zitatoka Mombasa😂😂😂😂 Anafikiri gari ni square pipes na flatbars wanazotumia kutengenezea yale masufuria yao 😁😁😁
www.capitalfm.co.ke
Nyinyi mmeunganisha ngapi dunia ikaona?LOL kwa mwaka mnaunganisha hivyo vidude 104 tu means kwa mwezi ni gari 8 tu, sasa huku zitafika lini? 🤣🤣🤣🤣🤣
![]()
Volkswagen Polo Vivo sales hit 104 since launch of Kenya assembly plant
Volkswagen Polo Vivo — the first passenger car to be assembled in Kenya in recent times — recorded sales of 104 units nearly a year after it was launched in December 2016. Data from the Kenya Motor Industry Association (KMI) shows that DT Dobie had sold 51 units of the Trendline and 53 units of...www.jamiiforums.com
Umesema manufacturer? 🤣🤣🤣🤣🤣🤣We unajua AVA Mombasa kweli? The biggest vehicle manufacturer in Eastern and Central Africa region.
Kenya sahii inafanya hadi assembly ya Mercedes buses. Kenya ndio supplier wa Scania Bus and Trucks in this region ju zinakua assembled Kenya.mm nakwambia assembly plant ya scania africa iko south africa hakuna nchi nyingine na haitokei kwa sas 😂😂😂😂😂
Yes, hata tukona assembler based in Thika inaitwa KVM. Kenya Vehicle manufacturer amabao wanatengeneza Volkswagen.Umesema manufacturer? 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
English is a problem here 😲
Yes, hata tukona assembler based in Thika inaitwa KVM. Kenya Vehicle manufacturer amabao wanatengeneza VolkswagenUmesema manufacturer? 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
English is a problem here 😲
Hebu taja hizo parts za gari mnazotengeneza hapo Kenya mana kama nmekusikia mnaingiza tu baadhi ya parts ambazo hazipatikani Kenya!!!Nyinyi mnaimport the complete vehicle while Kenya imports only important knockdown parts which can`t be sourced locally. The skills skills of making the vehicle remain in Kenya and the youths are employed. That`s a level of development Tanzania is only dreaming about.





Sisi hatuna white elephants 😂😂😂😂Nyinyi mmeunganisha ngapi dunia ikaona?
Hapa ndio umeweka ushahidi kwamba mna assemble au sio







Wewe funga bakuli sababu hujui English, nenda katafute maana ya neno manufacturer kwanza.Yes, hata tukona assembler based in Thika inaitwa KVM. Kenya Vehicle manufacturer amabao wanatengeneza Volkswagen
Hujadanganya🤣🤣, Scania buses and trucks being used in Tanzania are assembled in Mombasa🤣🤣🤣Kenya sahii inafanya hadi assembly ya Mercedes buses. Kenya ndio supplier wa Scania Bus and Trucks in this region ju zinakua assembled Kenya.
Tanzania hakuna vehicle manufacturers. 😂😂😂 Na unataka kunifunza kuhusu topic ambacho hukifahamu wala hukielewi.Wewe funga bakuli sababu hujui English, nenda katafute maana ya neno manufacturer kwanza.
They don`t have and that`s why they are always bitter tukianza discussion ya vehicle assembly plants.Tanzania hakuna vehicle manufacturers. 😂😂😂 Na unataka kunifunza kuhusu topic ambacho hukifahamu wala hukielewi.