Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

So kama ni Chinese company hatuwezi assemble? Mbona huwa unareason kama mtoto? We assemble Scania buses and lories yet Scania is a Swedish company. If Tanzania have no capacity to assemble vehicles usitulamu tafadhali.

No hate Bwana mapesa uache dharau, Kama hujui sio kwamba na sisi hatufanyi vitu mnavyofanya, mi nilideal na dharau zako kuhusu ku import wakati unazungumzia Kitu amabacho na nyinyi mna Import.



 
Sasa unareason kama class one pupil .......Right now we are opening up northern Kenya through lapsett which will triple our GDP in the next 10 years.....kelele za chura haitubabaishi......

ours will be stagnant or halved as the sgr, Nyerere dam, etc will be closed. nadhani sasa utanenepa. 🤣 😂 😛
 
Wakati mjambiani mpumbavuu anataka kwenda njombe ili kutafuta uchifu na kupewa usinga pamoja na kuvishwa ngozi ya nguruwe
JPM ANGETUPELEKA MBALI SANA SIYO HII TAKATAKA YA KICHAWI
Mimi ninamashaka na uwezo wako wa kufikiri mbona kwako lugha kistaarabu na kiungwana haipo kabisa.Huwezi kutoa hoja bila kuroka ovyo,watu wa Njombe hatuko hivyo bora unabdili na identity yako kabisa
 
Acha maneno mingi na ueke picha, ama unaogopa?🤣🤣

Jamaa kanaogopa🤣🤣🤣 nimekuambia tuanze battle lakini wewe kazi yako ni maneno tu.
😂😂😂 Jamaa unanifurahishaga wewe, mfano hii ni R chuga city center 👇.kisumu village center and it's best neighborhoods👇hivi kweli classic city kama chuga ufananishe na huu uchafu.? 😂😂😂 Kipoison.? Unaakili timamu wewe.?
 
Hii ng'ombe haijui Kenya has a Somali tribe who are actual Kenyan citizens 😂😂😂😂
Not to mention that idiotic 65% figure is just nonsensical.
 
You are promoting kisumu city without knowing.......from the photos kisumu is more developed and better looking. Thanks
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…