Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

GDP yao na PPP ni lazima iwe kubwa given idadi yao ya raia.
Unapoona taifa raia wake wako ready kuzamia nchi kama Tanzania, hasa Nigeria, China, India, Ethiopia, Kenyans, ni vyema kutambua yote unayosema juu ya chumi zao ni maua na takwimu za makaratasi.

Hii ndio $4 trillion. Hizo nchi zinasafari ndefu sana.
View attachment 3701009
View attachment 3701010
picha ya treni ndio source yako ya umaskini au facts 😆😆😆😆😆😆

au uchumi wa nchi unapimwa na picha ya treni, bro siamini kama ww ndio unaongea haya
 
Tanzania ina policies nyingi sana ambazo ni socialist na huo ni mfano nilikupa.
Kusema matajiri wanaamua hapa ni ujinga. There are a few politically connected thugs wana privilege ya kupata hiki na kile kinyume cha sheria ila when time comes, they shall all pay.
kwani tunaongea uongo **** matajiri wanaamua chochote, hzo
policies ziko wapi na zinafanya kazi gani, ikiwa cha kinaazisha mchango na matajiri ndio wanaochangia unategemea nn after that? socialism kwenye hii nchi iko asilimia 15% zilizobakia zote ni capitalism
 
Ikumbukwe aside cape gauge railway Lobito Kapirmposhi kuunganisha na TAZARA, kuna pipeline kutoka Lobito kwenda Ndola U/C itakayoungana na TAZAMA pipeline! Ila GoT iwe na uangalifu isije ikawapoteza Uganda, South Sudan na DRC kwenye deal la EACOP na Tanga refinery!
Haiwezi potea EACOP imekaa kimkakati zaidi 🔥
 
kwani tunaongea uongo **** matajiri wanaamua chochote, hzo
policies ziko wapi na zinafanya kazi gani, ikiwa cha kinaazisha mchango na matajiri ndio wanaochangia unategemea nn after that? socialism kwenye hii nchi iko asilimia 15% zilizobakia zote ni capitalism
Capitalism itoke wap bongo, ungekuta tushalia bil 50 kuwaleta manu waje wafungwe kwenye uwanja wetu mpya, kwakua upo kwenye ndoa tukuache kwanza usije toka bila kujifungua
 
Back
Top Bottom