Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Washajua hawawezipita Kenya on a level playground so they are praying that Al Shabaab should attack Kenya very hard, drought should hit kenya for at least five years non-stop and finally, Kenya should have a civil war and that`s why they are heavily banking on our August election hoping that there will be a serious conflict
Hii lisala uliyoweka ndio itafanya al shabaab isipige Kenya? Ndio itafanya msiuane kwenye uchaguzi wa mwaka huu? Ndiyo itaondoa njaa iliyoweka mizizi kunako Kunyaland? Sahau
 
I hope the next president will be like Uhuru in his second term. The next President akianza term yake na speed yenye Uhuru saa hii anaendesha nayo nchi then I`m sure we will be far by 2025.
Uhuru is overworking
Screenshot_20220129-153102.jpg
Screenshot_20220129-153136.jpg
Screenshot_20220129-133751.jpg
Screenshot_20220129-134947.jpg
JamiiForums1708590810.jpg
JamiiForums-884273460.jpg
 
Maskin wa Tanzania anaishi vizuri kuliko wa Kenya.
Elfu tano ya kitanzania inakulisha siku nzima.
Je vp kwa Kenya!?
Kila siku hapa tunawaambia tulinganishe bei ya basic commodities Kama vile unga, sugar na mafuta I'll mnabaki kutoa povu. Mtanganyika anaishi vizuri indeed! 😂
 
Msenge huyo achana naye.
Washapoteza imani nae kwa ishu gani? Not on economy bali kwa kuwa ni mwanamke na ni Mzanzibar,watu wa Bara hasa wafuasi wa marehemu ndio Wana chuki na sababu ni kwa vile ameamua kuwa opposite na staili ya Mwendazake ya uongozi na wengine kawatoa..

Keshawaweka pembeni kwenye madaraka na wengine wako mahakamani.

Otherwise kwenye metrics za Uchumi amesha mu outshine Mwendazake kwa mda mfupi Sana.

Lini uliwahi kuona Economy inakua kwa 5% kwa miaka yote ya Mwendazake? Ndio maana walipoona Hali mbaya wakaanzisha propaganda kali na sheria za kufuatilia watu mitandaoni na sheria za Takwimu Ili kuficha madudu,wakawa wanapika Takwimu..

Lakini saizi kila mradi unaenda,imagine mama anajenga vituo vya afya 202 at once wakati miaka yote Sita Mwendazake alijenga less than 100..

Ministry zote unazozijua wewe,Samia ka double budget,etc..Kwa mda mfupi tumeshawashikisha adabu nyie Wakenya,tuna trade surplus,kumbuka with Mwendazake ilikuwa ni migogoro daily..

Kwani wewe huoni Takwimu humu tunavyowakimbiza? 😄😆

View attachment 2100077

View attachment 2100079

View attachment 2100080
 
Back
Top Bottom