chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 14,692
- 45,963
Na sio kwenye Irish potatoes tu, kwenye sweet potatoes pia tunaongoza dunianiWao viazi eti wanaenda kununua Egypt 😅
Ambapo kunyaland imepitwa mpaka na Rwanda nchi ndogo
Na sio kwenye Irish potatoes tu, kwenye sweet potatoes pia tunaongoza dunianiWao viazi eti wanaenda kununua Egypt 😅
In matatu hakuna excess passengers, that was banned during Kibaki's regime.., yenu sio kama Europe., shida sio kusimama, ni kusukumana na kufinyana kama kondoo kwa Lorry in peak hours 😂 😂 😂 😂That is During Peak time and it's like that in every corner of the World, Nenda Asia, Europe etc Hadi subway za wazungu watu Wanajaa na wengine husimama, I can't imagine a peak time ride in Matatu [emoji23][emoji23][emoji23]
Kama Dar ya gorofa tatu, CBD moja 😂 😂 😂 😂 😂Picha zote za Kisumu zilizowekwa humu ni moja tu ya hivi vijengo, lazima vionekane [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2097657
MY TAKE
Wasijulikana wa JPM wanaanza kuandamwa wakibanwa vizuri tutajua wakina Ben Saanane wako wapi!
Nyinyi kazi ni kupost people of other nationalities tu 😂😂😂😂Kwa makelele ya masifa mnayopigaga wazee wa Githeri na chang'aa,mungefika hizi levels za Hawa Zimbabweans tusingepumua humu jukwaani.
Hongera kwao 👇
View attachment 2098020
View attachment 2098025
View attachment 2098026
30K Kshs, is too little by any standardTaja twende kazi kijana mdogo, yani utapata kipigo cha mwaka..
Emu jichanganye uingie kwenye kumi na nane sai
kwann hio picha ya pili imepigwa makeup mpaka imekua nyeusi hvo??🤣🤣🤣🤣we can bet $1M,.. eastleigh district is more busy, charged, vibrant, lucrative etc.. than kariakoo district View attachment 2097721
View attachment 2097720
Tuletee the lowest earning person wa tz mzee acha upuuzi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hii ni sawa na 240k tz shillings, kwa mshahara huu, huwezi ishi DSM utakufa [emoji23][emoji23][emoji23]..si bora ile report inayosema 60% of kenyan civil servants receive about 30k them salaries monthly.. hii umejitia kidole kabisa.. uku bongo hakuna civil servants wanalipwa hiyo pesa brathee. Mwalimu wa shule ya msingi hapa bongo ndio civil servant anaelipwa mshahara mdogo kabisa hapa bongo, kwa mwalimu anaenza kazi mshahara ni kati ya 389,283 hadi 811,114 Tz sh.. uko kwenu muhame nyie watu mtakufa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nyinyi kazi ni kupost people of other nationalities tu 😂😂😂😂