Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

1643473804261.png
 
Mbona hatuja-copy kuwa na njaa kama Kunyaland?
 
Point yako ni nini? Kwamba best neighborhood haiwezi kuwa na apartments?
Apartments deprive people of privacy and shouldn't be found in secluded neighbourhoods, where privacy is of utmost importance to residents. That's my point. And that's why Karen was named one of the leading residential areas in the world
 
Hee jamani huyu kiumbe mbishi sana.
Hayo maeneo nilokutajia ni misitu ilopandwa iko pembezoni mwake.
Planted forests.Halafu wilaya ya Kigamboni ni kubwa kinyama naweza sema ni robo ya hiyo Nairobi.
Sasa kati yangu na wewe nani mbishi. Mimi natumia picha kudhibitisha madai yangu wewe unatumia maneno umetoa akilini. Kojoa ulale nanii!
 
Sisi tunangojea miradi ya mama yeye kama yeye ili tuanze kumuunga mkono ...ila hii ya sasa hapana credit siyo zake ,tunategemea mama kuacha mambo ya kipumbavu ya UCHIFU NA KUVAA NGOZI NA KUTAMBIKA ILI AELEKEZE NGUVU KWENYE MAMBO YA MSINGI YA KUBUNI MAMBO YENYE KULIONDOA TAIFA KWENYE UMASIKINI NA KUDHALAULIKA
 
Yani in just 17 years tushawapiga gepu la kufa mtu. Na ile wimbo wa "tutaipiku Kenya" ndio inazidi kunoga! Nakuambia wenzetu wako na mtihani kweli kweli
Washajua hawawezipita Kenya on a level playground so they are praying that Al Shabaab should attack Kenya very hard, drought should hit kenya for at least five years non-stop and finally, Kenya should have a civil war and that`s why they are heavily banking on our August election hoping that there will be a serious conflict😂😂😂
 
kama mwendazake vile na watu wa huko ambao hawakati ila wanajua kuua wanawake na ushirikina ili wabaki midume tu huku wakijiita wachapakazi na kujua kupora fedha za wanaume!
this is to chik
 
Yani Moi wasted us for 24 good years. Kibaki took over in 2003 and we've never looked back!
Hilo gap limeongezeka.zaidi miaka 6 iliyopita,tumepoteza kwenye economy Sana.

Ila naamini kwa mwendo tunaoenda sasa ,tutapunguza hilo gap ndani ya miaka ya Samia.
 
Back
Top Bottom