do you realy think we are on track as far as vision2030 is concern, or we are lagging behind or we are ahead of schedule, your take pleaseI hope the next president will be like Uhuru in his second term. The next President akianza term yake na speed yenye Uhuru saa hii anaendesha nayo nchi then I`m sure we will be far by 2025.
Reason?Kumbe ww ni mjinga kiasi hikisikujua mkunya i mkunya tu, hana tofauti na jiwe la mtoni
We are behind but not far much behind.do you realy think we are on track as far as vision2030 is concern, or we are lagging behind or we are ahead of schedule, your take please
If they didn't succeed in 2007-2008 and magufuli's error am telling you it won't be possibleWashajua hawawezipita Kenya on a level playground so they are praying that Al Shabaab should attack Kenya very hard, drought should hit kenya for at least five years non-stop and finally, Kenya should have a civil war and that`s why they are heavily banking on our August election hoping that there will be a serious conflict😂😂
Mambo ya double decker hayo from bombardier. Yajayo yanafurahisha. View attachment 2100087
Kitu inawadanganya ati wanaezapita Kenya during this election year😂😂If they didn't succeed in 2007-2008 and magufuli's error am telling you it won't be possible
A paradise with no inner roads and walkways?
Hayo ni maelezo tu mjomba, mi nataka salary scale kutoka kw wizara husika wanaosimamia mishahara yaoSalary scale ya nn wkt kila kitu kimemalizwa hapo.
can't board that sweaty canJ
Jesus kumbe this BRT Ni urembo tu nkt! Disappointed
Kaka bangi mbaya.Washapoteza imani nae kwa ishu gani? Not on economy bali kwa kuwa ni mwanamke na ni Mzanzibar,watu wa Bara hasa wafuasi wa marehemu ndio Wana chuki na sababu ni kwa vile ameamua kuwa opposite na staili ya Mwendazake ya uongozi na wengine kawatoa..
Keshawaweka pembeni kwenye madaraka na wengine wako mahakamani.
Otherwise kwenye metrics za Uchumi amesha mu outshine Mwendazake kwa mda mfupi Sana.
Lini uliwahi kuona Economy inakua kwa 5% kwa miaka yote ya Mwendazake? Ndio maana walipoona Hali mbaya wakaanzisha propaganda kali na sheria za kufuatilia watu mitandaoni na sheria za Takwimu Ili kuficha madudu,wakawa wanapika Takwimu..
Lakini saizi kila mradi unaenda,imagine mama anajenga vituo vya afya 202 at once wakati miaka yote Sita Mwendazake alijenga less than 100..
Ministry zote unazozijua wewe,Samia ka double budget,etc..Kwa mda mfupi tumeshawashikisha adabu nyie Wakenya,tuna trade surplus,kumbuka with Mwendazake ilikuwa ni migogoro daily..
Kwani wewe huoni Takwimu humu tunavyowakimbiza? 😄😆
View attachment 2100077
View attachment 2100079
View attachment 2100080
sukari kilo 2200.Kila siku hapa tunawaambia tulinganishe bei ya basic commodities Kama vile unga, sugar na mafuta I'll mnabaki kutoa povu. Mtanganyika anaishi vizuri indeed! 😂
Wewe utakuwa ni mwehu kabisaa, siwezi hata kujisumbua ku list hapa jukwaani na statistics kila siku zinatolewa humu jukwaani..Kaka bangi mbaya.
Miradi gani ambayo mama kaianzisha na inaenda?
Miradi ya kukatika umeme kila uchwao?
Au miradi ipi?
Miradi ya marehemu pekeake inazoroteshwa.
Yani katika kipindi Tanzania imekua na serikali mbovu ni kipindi cha awamu ya sita.