Sikutaka kuchangia hii mada ila quotes zako zimenilazimu.
Mimi siyo mshabiki wa siasa na sizikubali siasa za bongo ila unapotaja viongozi huwezi sema mama samia ni kiongozi,shika adabu yako unakosea viongozi.
Unapokosea pakubwa ni kumfananisha huyo mama mbulula na Mheshimiwa Magufuli.
Magufuli alikua mtu aliyeweka nidhamu kazini,Magufuli ni mtu aliyeua social classes,Magufuli alikua ni mtu aliyeweka morali ktk kuchapa kazi,Magufuli ni mtu ambae aliangalia wananchi kwanza kuliko kingine,Magufuli ni kiongozi ambae alionesha mfano kuwa ukisema unatakiwa kutenda,Miradi mingi aliiweka ktk utekelezaji na ikawa inatekelezwa na inaenda kwa kasi.
Leo hii mama yenu mvaa ushungi ona anavyoizorotesha miradi,nidhamu ya kazi imeondoka kabisa ktk mashirika ya umma ya kiserikali,social class zimerudi,ukandamizwaji wa wanyonge hususan (wafanyabiashara wadogo wadogo)umerudi tena.
Nani ameuzorotesha uchumi kati ya Marehemu na Mama yenu mjambiani??
Embu kuweni na heshima msimfananishe Magufuli na vitu vya hovyo hovyo .