Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Chang'aa media plus confused authorities at their peak notch performance 🤣🤣🤣🤣

2022-1-28_19-28-8.PNG
 
Unaongelea purchasing power na bei ya maziwa, sukari, unga in Kenya is cheaper than TZ. Hakuna kitu unatuambia hapa, wenzako hapa tuliwaambia walete bei ya unga au sukari wakatoroka wote.
Tz dar es salaam ugali wenye mboga 3 mfano ugali + samaki + njegere + dagaa = tsh 1000 sawa sawa na kenya ksh 50
Nauli ya basi dar ni tsh 400 hadi tsh600 kwa umbali wowote dar 24km au zaidi sawa sawa na kenya ksh20 to ksh30 bei ya bia ni tsh1000 had tsh 2000 sawa na kenya ksh50 to ksh100
Haya taja hizo bei kenya tuone
 
Another unmarked road, Kenya is the father of unmarked roads in the World [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2098357
Kijana wa degree mbona uko desperate hivi? We all know Nairobi expressway is still under construction. Unategemeaje iwe marked at that stage? Au akili ndio huna?
 
Tz dar es salaam ugali wenye mboga 3 mfano ugali + samaki + njegere + dagaa = tsh 1000 sawa sawa na kenya ksh 50
Nauli ya basi dar ni tsh 400 hadi tsh600 kwa umbali wowote dar 24km au zaidi sawa sawa na kenya ksh20 to ksh30 bei ya bia ni tsh1000 had tsh 2000 sawa na kenya ksh50 to ksh100
Haya taja hizo bei kenya tuone
So unadhani hizo ndio metrics za kuangalia Purchasing Power. Bei ya chakula kwa vibanda na nauli ya daladala.🤣🤣🤣🤣 Sasa nime elewa mbona wengi wenu wanataka mfumo wenu wa elimu ubadilishwe. Na hakuna stat bongo ina rank juu ya Kenya kwa Purchasing Power, pengine kwa umbea tu.
 
Back
Top Bottom